Al-Shabaab kushambulia mechi ya Simba na Yanga

Al-Shabaab kushambulia mechi ya Simba na Yanga

Kila mtanzania na awe mlinzi, taarifa zozote zenye viashiria vya hatari tujulishe vyombo vyetu vya ulinzi haraka iwezekanavyo.
Mungu ibariki Tanzania

Mkuu m-mekataza mikusanyiko, sasa vp hapo kesho?mbona unataka kukwepa intelegensia yako??au hao al-shabab wapo kwa dowansi tu??
 
kwan hao al shabab mmewafanya nini? Mumewah kuwachokoza?
 
Marekani mwenyewe anagwaya kwa hawa jamaa. Aliingiza kichwa Mogadishu akaishia kukatiwa vichwa vya wanajeshi wake kama kuku.

Mwita kuna new post unaweza pitiaukajua kama anamuogopa au lah.
 
Kama maandamano yamezuiliwa kwa maana ya mkusanyiko wa watu na hatari yua kupigwa na alshabaab, kwa misingi hiyo hiyo mechi ya simba na yanga pia ni mkusanyiko wa watu, ifutwe kwa ajili ya usalaama wa taifa. KoVA unasemaje !!!!!!!!!!!!
 
Sidhani kama wana dini hawa
Dini wanayo usipotoshe ukweli,wanavaa suruali fupi,wamefuga ndevu nyingii kama makuhani na vilevile mida ya saa sita huwa wanaweka silaha chini wanafanya ibada.
Tanzania tayari wanamiliki Media(gazeti na radio)
 
Kuna habari zimezagaa kuwa Al-Shabaab wana mpango wa kulipua katika mechi ya Simba na Yanga kesho. Naomba muwe waangalifu sana kama itawalazimu kwenda kuangalia mchezo huo lakini ushauri ni kuacha kwenda kwenye mechi hiyo kabisa. Hizi ni habari za ndani sana hivyo source haiwezi kuwekwa hapa.

Kova nae kwa kupenda promo kwenye vyombo vya habari simuwezi.
Washambulie mechi kwa lipi?
 
Mwisho tutaambiwa tusitoke nje kisa al-shabaab..vyombo vya usalama vinafanya nini?au kazi yao kumwagia waandamanaji wa chadema maji ya kuwasha tu?
 
jamaa wanapiga hata kwenye daladala... basi na usafiri huu ustopishwe mara moja
 
unataka TFF ifilisike wewe

hawafilisiki mkuu, sheria na amri lazima ifuatwe kwa usalama wa nchi, tena hapa Posta mpya kuna mkusanyiko mkubwa pilika nyingi sana, Kova njoo utawanye watu kwa usalama wao
 
al shabaan oops sorry al shabaab ivi ina maan gani kwa nyie mjuao lugha ya kiarabu?
 
Back
Top Bottom