Al-Shabaab kushambulia mechi ya Simba na Yanga

Kuna habari zimezagaa kuwa Al-Shabaab wana mpango wa kulipua katika mechi ya Simba na Yanga kesho. Naomba muwe waangalifu sana kama itawalazimu kwenda kuangalia mchezo huo lakini ushauri ni kuacha kwenda kwenye mechi hiyo kabisa. Hizi ni habari za ndani sana hivyo source haiwezi kuwekwa hapa.

Wapi mzee wa Intelijinsia Kamanda Mwema?
 
Tuunde tume tuitume Somalia ikatuombee msamaha kwa Al-Shabaab, vinginevyo tumekwisha.
 
al shabaan oops sorry al shabaab ivi ina maan gani kwa nyie mjuao lugha ya kiarabu?
Harakat al-Shabaab al-Mujahideen (HSM) (Arabic: حركة الشباب المجاهدين‎; Ḥarakat ash-Shabāb al-Mujāhidīn, Mujahideen Youth Movement or "Movement of Striving Youth"), more commonly known as al-Shabaab (Arabic: الشباب‎, "The Youth", "The Boys" or "The Lads") is a terrorist group of militants fighting to overthrow the government of Somalia. As of 2011, the group controls large swathes of the southern parts of Somalia,[SUP][5][/SUP] where it is said to have imposed its own strict form of Sharia law.[SUP][6][/SUP] Al-Shabaab's troop strength as of May 2011 is estimated at 14,426 militants.[SUP][2][/SUP]
The group is an off-shoot of the Islamic Courts Union, which splintered into several smaller organizations after its removal from power by Ethiopian forces in 2006.[SUP][7][/SUP] It describes itself as waging jihad against "enemies of Islam", and is engaged in combat against the Somali Transitional Federal Government (TFG) and the African Union Mission to Somalia (AMISOM). Al-Shabaab members, alleging ulterior motives on the part of foreign organizations, have also reportedly intimidated, kidnapped and killed aid workers, leading to a suspension of humanitarian operations and an exodus of relief agents.[SUP][8][/SUP] The group has been designated a terrorist organization by several western governments and security services.[SUP][9][/SUP][SUP][10][/SUP][SUP][11][/SUP] It has also been described in The New Yorker as having "ties to Al Qaeda,"[SUP][6][/SUP] which its leaders denied until early 2010.[SUP][12][/SUP][SUP][13][/SUP]
In early August 2005, the TFG's troops and their AMISOM allies reportedly managed to capture all of Mogadishu from the Al-Shabaab militants.[SUP][5][/SUP] An ideological rift within Al-Shabaab's leadership also emerged in response to pressure from the recent drought and the assassination of top officials in the organization.[SUP][14][/SUP]
 
Ndio madhara ya Polisi kuzusha uongo kwa faida ya mafisadi na tena kwa kukurupuka. Sasa leo uzushi huu unaweza kuathiri mchezo wa Simba na Yanga, siku nyingine kutasemwa Al shabab wamekusudia kulipua maofisi kadhaa katikati ya jiji, Nani ataenda kazini siku hiyo? uchumi wetu utaathirika kiasi gani kwa uzushi/woga ulioanzishwa na Polisi ili kulinda malipo ya Dowans?
 
Kuna habari zimezagaa kuwa Al-Shabaab wana mpango wa kulipua katika mechi ya Simba na Yanga kesho. Naomba muwe waangalifu sana kama itawalazimu kwenda kuangalia mchezo huo lakini ushauri ni kuacha kwenda kwenye mechi hiyo kabisa. Hizi ni habari za ndani sana hivyo source haiwezi kuwekwa hapa.

Kama mechi ya simba na yanga itaendendelea kama ilivyopangwa basi tutajua kova na wenzake wameshapokea posho kutoka kwa mafisadi wa dowans ili kuvuruga maandamano. Haiwezekani maandamano yafutwe kwa kuogopa al-shabaab halafu kuwe na mkusanyiko mkubwa tena mahali pengine na siku hiyo hiyo lakini al-shabaab haizungumzwi. Vinginevyo huu ni muendelezo tu wa usanii wa akina kova. Tunajua mmeshajazwa mapesa na mafisadi lakini mjue utafika wakati watu watawachoka pia na hapo ndipo mtakapojua nguvu ya umma inavyofanya kazi.
 
Hapa tunaongelea Al shabaab sio uislam. Think greatly, don't use MASABURI

Wewe sasa unachekesha. Kwani Al shabaab ni nani?? huwezi kutenganisha al shabaab na uislam. Ulizia who is Al shabaab na malengo yao ni nini, then you will get to know.
 
Kuna habari zimezagaa kuwa Al-Shabaab wana mpango wa kulipua katika mechi ya Simba na Yanga kesho. Naomba muwe waangalifu sana kama itawalazimu kwenda kuangalia mchezo huo lakini ushauri ni kuacha kwenda kwenye mechi hiyo kabisa. Hizi ni habari za ndani sana hivyo source haiwezi kuwekwa hapa.

mawazo yako na ya kombe kama yana shabihiana vile
 
Police na CCM wameiingiza el shabaab ili kuzuia maandamano ya kupinga Dowans,sasa unaona inaadhiri hata mabo mengine ambayo hayakukusudiwa
 
Sidhani kama wana dini hawa

Mwezi uliopita waliandaa mashindano ya kusoma kitabu kitakatifu cha kiislamu kwa vijana wa umri wa miaka chini ya miaka 15' mshindi wa kwanza walimpatia bunduki na hela,wengine wapili mpaka wakumi walipewa bunduki kama zawadi lengo ni kuindeleza dini ya kiislamu!
 
Sababu zilizopelekea maandamano yazuiwe ni haki kabisa zikatumika kuahirisha mechi ya simba na Yanga!
 
Lakini mwakilishi mkazi wa Al-Shaabab hapa Tanzania ni kada mwandamizi wa CCM kwa nini asiwadhibiti vijana wake? Au zile fedha zao walizo wekeza kwenye kampeni za CCM mwaka 2010 hawajalipwa?
 
Hapa inabidi kuwa makini, maana hawa al shabab wameanza kufanya mambo hapo Nairobi..
 
Kuna habari zimezagaa kuwa Al-Shabaab wana mpango wa kulipua katika mechi ya Simba na Yanga kesho. Naomba muwe waangalifu sana kama itawalazimu kwenda kuangalia mchezo huo lakini ushauri ni kuacha kwenda kwenye mechi hiyo kabisa. Hizi ni habari za ndani sana hivyo source haiwezi kuwekwa hapa.

Hizi ni tetesi kutoka kwa mhe sana Mwita ... Inavyoonekana yeye ni mshabiki wa timu mojawapo hasa ***** ambayo nahofia itafungwa hivyo anaona silaha ni kutumia hoja dhaifu ya Kova ya kuzuia maandamano ya Dowans na kuileta kwenye mechi ya Simba na Yanga. Mbona watu hammstukii huyu kilaza?
 
Back
Top Bottom