Al-Shabaab kushambulia mechi ya Simba na Yanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al-Shabaab kushambulia mechi ya Simba na Yanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwita25, Oct 28, 2011.

 1. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kuna habari zimezagaa kuwa Al-Shabaab wana mpango wa kulipua katika mechi ya Simba na Yanga kesho. Naomba muwe waangalifu sana kama itawalazimu kwenda kuangalia mchezo huo lakini ushauri ni kuacha kwenda kwenye mechi hiyo kabisa. Hizi ni habari za ndani sana hivyo source haiwezi kuwekwa hapa.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na sisi Tanzania tayari tumeshaanza kuwaogopa Al-Shabaab?
   
 3. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  kova na hili atolee tamko maana wametubania mandamano ya dowans sasa ngoja tuone na hili kama watakaa kimya maana na huu ni mkusanyiko na hii habari si ya kubeza ...
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Marekani mwenyewe anagwaya kwa hawa jamaa. Aliingiza kichwa Mogadishu akaishia kukatiwa vichwa vya wanajeshi wake kama kuku.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kila mtanzania na awe mlinzi, taarifa zozote zenye viashiria vya hatari tujulishe vyombo vyetu vya ulinzi haraka iwezekanavyo.
  Mungu ibariki Tanzania
   
 6. V

  Vitalino mlelwa Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunatarajia mechi ya simba na yanga nayo kutokuwepo kama ambavyo maandamano ya kupinga tuzo ya dowans yalivopingwa kwasabubu mechi hiyo itasababisha mkusanyiko mkubwa kuliko maandamano kama mechi itakuwepo tunaomba kibali cha maandamano kitolewe mara ili tuendele kwasababu hapo ishu itakuwa siyo alshababi ila ni kutumiwa kwa jeshi la polisi na wahusika wa dowans.
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Lisemwalo lipo
   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  mnawataka eeee --- mtawapata tu, mwambieni na kova wenu kuvunja maandamano ya kupinga malipo ya do-once and get money for free kisa mnawasingia al-shaabaau - akae chonjo anawataka na watafanya kazi kweli.
   
 9. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hawaaminiki hawa jamaa na habari zao sio za kubeza hata kidogo!
   
 10. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Piga marufuku mechi ya Simba na Yanga la sivyo hakieleweki
   
 11. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,967
  Trophy Points: 280
  tena limesemwa na mwita!
   
 12. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tena hata maadhimisho ya miaka 50 yasiwepo, wakiruhusu maadhimisho ya miaka 50 wanaharakati waitishe maandamano kuanzia siku hiyo maana hali itakuwa shwari
   
 13. F

  FUSO JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  haitasaidia, inatakiwa mpige marufuku mikusanyiko yote misiba, night clubs, baa zenu za uswazi, super markets kama mnawaogopa hawa jamaa.

  tatizo la CIA ya tanzania -- zima moto.
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hii ni urongo...
   
 15. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  je al shabab ndio vidume wa Africa?
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa washirika wa Kova kama wewe lazima uone ni urongo. Ila kupiga marufuku maandamano ya Dowans siyo urongo!
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mpango mzima nimeupata HAPA. Fungua ujisomee mwenyewe.
   
 18. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kova anakimbizwa kimbizwa tu hajui la kufanya kutokana na proffession yake.
   
 19. F

  FUSO JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  kwani hawa Al - shabaab wanaabudu dini gani?
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Fitna kubwa sana hizi.
   
Loading...