Al-Kasusi au Al-Kasusu ni kinywaji gani? Kinasaidia nini mwilini?

du sasa si watauwa watu viagra si noma?
Ndio maana utasikia watu wamezima. Hata hawa wauza miti shamba, wengi waongo waongo, wanasaga mizizi wananyunyiza dawa za viwandani, ukijichanganya tayari ushakuwa mteja. Na kama presha yako haina stability, ndio utasikia njemba kafia gesti akijiandaa kubanjuka
 
Watu wanazunguka,si mkanywe erecto 50 au erecto 100???mtakuja mnywe sumu kwa madawa yasiyopimwa shauri yenu,au mnaona noma kwenda kununua :D :D :D

Unakuta binti anaeuza duka la dawa unamtaka halafu unakwenda kununua erecto a.a.a viagra kwake🤣🤣🤣ila kwa sisi mabaharia unanunua viagra na pale pale unamtongoza,kudaaaaadeq
 
="Simon Adebisi,
Mkuu wale mashekh wana unga wao special nasikia wanautoa tanga na unauzwa 5k kwa kifurushi cha robo kilo.Ukiwaona wanapita town waulize wataweza kukuuzia unga.
Mkuu na wewe Ayoub anazingua nini😂😂😂

Signature
I😂😂😂
nataka niuze hii kitu huku kertu
 
Mwenye kile kibonzo cha Mosoud Kipanya ya kupima VVU kwa hiari, eti wanaume wameambiwa ukipima unaongeza nguvu za kiume nakiomba!
 
Habari kuu leo kwenye gazeti linalomilikiwa na serikali ni ile isemayo Al Kasusu yatikisa wanaume.

Naomba aliyesoma gazeti hilo atujuze kama hiyo Al Kasusu ina uhusiano wowote na uchaguzi wa serikali za mitaa au na utendaji wa serikali kwa namna yoyote ile.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kingsmann, Acha kupotosha ile ni kama kahawa na haina chochote imeanzia Zanzibar, Tanga sasa ipo mitaa ya Lindi, Mtwara na Dar.

Naipenda inafanya mwili urelax na kupunguza maumivu mwilini. Naipendea usafi pia maana vikombe vyake ni single use.
 
Ilikuwa mayai ya kware.

Sasa hivi mmeletewa hiyo Chai.

Wabongo endeleni kupelekeshwa kama maboya.

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom