Al-Kasusi au Al-Kasusu ni kinywaji gani? Kinasaidia nini mwilini?

Mbona ni chai tuu ya kawaida jameni, mimi kila nikipita Magomeni lazma nisimame pale kichangani kupata japo vikombe viwili, haihusiani na habari hizi zinazolenga kupotosha maana halisi ya Al kasus.
 
Supa ya pweza mara mbegu za maboga mara vumbi la congo,,vijanaume vya dar

Kinondoni,Temeke,ilala,sinza,temeke kote huko unakuta wanaume wamepanga foleni na wanawake wananunua chips yai zege,kila siku

mwili unapataje nguvu za kupiga pumb#
 
Kwaio wewe mtu akila chipsi, mbegu za maboga, akitumia vumbi la Congo, Supu ya pweza unaathirika vipi?
 
moja ya ulaji usio faa ni kula chips,ili iwive inanyonya mafuta mengi sana,
,inshort
CHIPS lehemu ya mafuta(cholesterol) inayo ganda kwenye mishipa ya damu husababisha maradhi figo,moyo,saratani pia kuongeza uzito wa mwili,

MAYAI ya kisasa yana vijidudu vivyofahamika kama microbe vinavyo mfanya mtu kua mzembemzembe na kukosa nguvu mwilini

kemikali zinazotumika kutengeneza yai la kuku(egg booster) ni nyingi na zote ufyonzwa ndani ya yai la kuku

Kemikali hizo uleta madhara kwa mlaji na kudhoofisha mfumo wa nguvu za kiume,
lkn pia kemikali hizo usababisha wanaume kuwa na makalio makubwa kuota matiti na kulegea viungo vya mwili pamoja[ sauti kulegea]

TOMATO SAUCE balaa pia
SODA ndo unajimaliza zaidi

Tiba ya kwanza ni kubadilisha mtindo wa maisha, namna ya ulaji,mazoezi ya viungo,kunywa maji ya kutosha,kupima afya mara kwa mara.

Simama na asali na mdalasini kila siku,hakuna mechi utapoteza daima
 
Nilikua sifahamu juu ya hayo mambo yahusuyo chips na mayai ya kizungu ila ninafahamu kwamba nguvu za kiume ni swala la life style mfano ukiamka asubuhi unakunywa maziwa + karanga+ mayai ya kienyeji mchana ukala dona+mboga za majani+ matunda jioni vivyo hivyo yani ukaacha kula carbohydrates bali unakawa unakula full meal na pia ukitumia hio cocktail ya asali + vitunguu swaumu + tangawizi + mdalasini mkuu damu inaflow vizuri tu kioa sehemu ya mwili huwezi kua na tatizo la nguvu za kiume
 
Habari kuu leo kwenye gazeti linalomilikiwa na serikali ni ile isemayo Al Kasusu yatikisa wanaume.

Naomba aliyesoma gazeti hilo atujuze kama hiyo Al Kasusu ina uhusiano wowote na uchaguzi wa serikali za mitaa au na utendaji wa serikali kwa namna yoyote ile.

Maendeleo hayana vyama!
Haizidi karanga mbichi zilizosagwa na kuchanganywa na asali.
 
ww unajua kila kitu tena mtaalam,ila ulitaka kujua elimu ya rishe bora inafahamika kiasi gani kwa machalii
Nilikua sifahamu juu ya hayo mambo yahusuyo chips na mayai ya kizungu ila ninafahamu kwamba nguvu za kiume ni swala la life style mfano ukiamka asubuhi unakunywa maziwa + karanga+ mayai ya kienyeji mchana ukala dona+mboga za majani+ matunda jioni vivyo hivyo yani ukaacha kula carbohydrates bali unakawa unakula full meal na pia ukitumia hio cocktail ya asali + vitunguu swaumu + tangawizi + mdalasini mkuu damu inaflow vizuri tu kioa sehemu ya mwili huwezi kua na tatizo la nguvu za kiume
 
Wanaume wa dar kila kitu kinawachanganya. Al kasusu si chai tu hiyo yenye tangawizi nyingi. Nilishawahi kunywa pale arusha stendi kubwa. Haina cha ziada. Mtaliwa hela zenu mkiambiwa ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume.
 
Kama ina tangawizi nyingi lazima iliamushe dude
 
Kwan wewe una kula nini mwenzetu
Supa ya pweza mara mbegu za maboga mara vumbi la congo,,vijanaume vya dar

Kinondoni,Temeke,ilala,sinza,temeke kote huko unakuta wanaume wamepanga foleni na wanawake wananunua chips yai zege,kila siku

mwili unapataje nguvu za kupiga pumb#
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom