dendizzo
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 954
- 1,314
Sidhani. Bora uangalie hiyo clip mwenyewe utaweza kupata jibu ambalo litakua sahihi kwakoNi mtanzania?
Sidhani. Bora uangalie hiyo clip mwenyewe utaweza kupata jibu ambalo litakua sahihi kwakoNi mtanzania?
Mkuu vipi wale wa elimu ya hapa na pale chadema?Kwa hiyo lugha ya kusema enough resource? Unahisi yupo sahihi hapo hebu msikilieze vizuri anavyoongea broken hapo. Kweli hakuna wasomi kwenye kile chama.
Wote ndio wale wale tu kasoro majina.Mkuu vipi wale wa elimu ya hapa na pale chadema?
Hii lugha ngumu asee asikwambie mtu kama hujakulia nayo au kuishi mazingira ya nje ya Tanzania.Kiingereza cha nape nnauye ndiyo kimeniacha hoi
kwani yule zembwela siku hizi hayupoKile kipindi na zembwela. Sijui kinaitwagaje
Thubutu! Likely ni Mkenya au South Africa. Nilikuwa namuona CCTV huyu kipindi fulani huko nyuma.Ni mtanzania?
Mimi naona Mhe. Nape amajitahidi, alijibu inavyostahili, alielewa swali na akatoa jibu linaloeleweka. Nitamponda sana Mhe. Nape akifungia vyombo vya habari lakini sio kuongea kingereza kwa unyenyekevu kama aliouonyesha leo. Mhe. Nape ni mbabe sana. Alimtukana sana Dr. Slaa. leo hii alionyesha unyonge sana.tunajua unamlenga nani kwenye hii post,nakushauri tuuu kwamba usiwachokoze tisia raa eiii
Leo nikiwa nimekaa mchana hapa naangalia Al-Jazeera mara nikaona makala nzuri kabisa ikiongelea serikali ya Tanzania kuhamia Dodoma.
Nilichoona na kujifunza na kushangaa ni kwamba mbna hawa watu wanakuja wanafanya makala nzuri namna hii na kitu kinachovutia kuangalia namna hii wakati huo sisi tukashindwa.
Ni hayo tu, ngoja niwape makala yenyewe.
mkuu tokea 1973 wamekurupuka vipiUamuzi wa serikali kuhamia dodoma ulikuwa wa kukurupuka sana angetakiwa kuanza raisi
Leo nikiwa nimekaa mchana hapa naangalia Al-Jazeera mara nikaona makala nzuri kabisa ikiongelea serikali ya Tanzania kuhamia Dodoma.
Nilichoona na kujifunza na kushangaa ni kwamba mbna hawa watu wanakuja wanafanya makala nzuri namna hii na kitu kinachovutia kuangalia namna hii wakati huo sisi tukashindwa.
Ni hayo tu, ngoja niwape makala yenyewe.
mkuu tokea 1973 wamekurupuka vipi
Hiyo unalazimisha,mtendaji mkuu wa shughuli za kila siku ni waziri mkuu,ameshafika Dodoma,mnataka nini tena nyie wanga?Kuhamia dodoma angetakiwa kuanza raisi wengine ndo wafuate
Leo nikiwa nimekaa mchana hapa naangalia Al-Jazeera mara nikaona makala nzuri kabisa ikiongelea serikali ya Tanzania kuhamia Dodoma.
Nilichoona na kujifunza na kushangaa ni kwamba mbna hawa watu wanakuja wanafanya makala nzuri namna hii na kitu kinachovutia kuangalia namna hii wakati huo sisi tukashindwa.
Ni hayo tu, ngoja niwape makala yenyewe.
Watangazaji na marepota wetu wa TZ wanakosa credibility kwa sababu zifuatazo,
1. Wengi uelewa wao katika fani ya habari ni mdogo mno. (Huwezi walinganisha na wakenya)
2. Matumizi ya technolojia ya kisasa kwao baado kabisa (wanashindwa kwenda na wakati)
Mfano, mechi za TZ hawawezi kuweka hata summary ya magoli yaliyofungwa sson baada ya mechi, licha ya kuwa na
re-play za kila goli lakini mechi za ulaya wanaonyesha jinsi magoli yalivyofungwa.
3. Wanapeana kazi kwa misingi ya Dini (Utakuta TV moja watangazaji karibu wote ni wa dini moja) No competition, no
religious balance.
4. Wanapeana kazi kwa misingi ya Kabila - No credibility competition.
5. Ni washamba sana. Mara kwa mara mtangazaji anasoma karatasi. Kichwa chake ni up and down always!
6. Hawajui kuchangua nguo za kuvaa - Tazama TBC1.
7. Habari nyingi zina ukakasi mkubwa. mengi yanafichwa makusudi.
8. Hawana uzalendo wa nchi. i.e Hawajui namna ya kuitangaza nchi yetu.
NB: Mtu wa nje ya TZ anaweza kuitangaza vizuri nchi kuliko watangazaji wetu.
NAJUA SIJAPATIA YOTE LAKINI UKWELI NI MWINGI.
Ndiyo maana napenda kuangalia TV za Kenya.