Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,300
- 2,716
Nadhani tatizo kubwa lipo kwenye matumizi ya lugha ya kiingereza,
Walimu wetu wengi sio wale creme de creme inabidi watu wanaofaulu ndio waende taaluma ya ualimu.
Historical background na taboos mfano sasa hivi hata aje msukuma dsm atakuwa na tabia kama mtu wa pwani na tanga za umbeya uvivu, kukaa vibarazani kwemye fremu za watu kuongea unafiki siku nzima, hata bodaboda ukifika vijiweni kwao ni unafiki siku nzima ndio order of the day.
Serikali TCRA ni lazima i control content ya media vipindi vyetu vingi sasa kuanzia miaka ya 2000 ni majungu, matusi,starehe,singeli,miziki 24hrs, hebu tutazamae tv za kenya,South africa hata redio vipindi vinajenga sana kizazi kuwa creative and focused. Leo tena, zembwela, xxl,kina monalisa hakuna vitu vya maana zaidi ya story za maisha ya watu lowlife, mtu kafumaniwa,kakataa mtoto, shilawadu likes
Kwa muenendo huu tusitegemee kupata kizazi chenye skills. Wanafunzi watadesa mitihani ili wapate vyeti
Sent using Jamii Forums mobile app