kweli kabisa , wafanyakazi wengi wa tanzania wanafanyia kazi njaa njaa tu wala hawafanyi kwa passion... unakuta mtu anasikia tu kuwa kazi flani inalipa siku hzi , basi ndio kukimbilia huko ,,,, jana nilishtuka kuja kusikia kuwa mzee muhogo mchungu eti nae sasa hvi ni mtangazaji wa radio east afrikareporters wengi wa tanzania hasa tv,walikuwa wapiga picha za harusi,wengine walikuwa wanasagisha mashine za unga, ma mc wa harusi hivyo hawana elimu na weledi pia,
al jazeera hawapokei pokei habari tu,hata anayezitoa lazima awe na vigezo.
kuna ma RIPOTA wa ITV ambao nikiweka CV zao humu utaomba ndimu ili usitapike
Ni reporter wa Al Jazeera kutoka Tz. Ukiangalia hiyo clip utamuonaFahmida ndio nani mkuu??
hatari,kuna haja TCRA iwalazimishe wawe na minimum number of graduates,na iwalazimishe wanaojihusisha na utafutaji habari wawe na minimum qualification kwenye mambo ya habari,may be form four na cheti cha journalism,awe repota au laa,kuna mmoja geita alikuwa mpiga picha za harusi,na kabla alikuwa msagishaji kwenye mashine za mpunga,mweusi tiii nafikiri kwa sababu ya zile mashine za enzi zile za dizelikweli kabisa , wafanyakazi wengi wa tanzania wanafanyia kazi njaa njaa tu wala hawafanyi kwa passion... unakuta mtu anasikia tu kuwa kazi flani inalipa siku hzi , basi ndio kukimbilia huko ,,,, jana nilishtuka kuja kusikia kuwa mzee muhogo mchungu eti nae sasa hvi ni mtangazaji wa radio east afrika
tunajua unamlenga nani kwenye hii post,nakushauri tuuu kwamba usiwachokoze tisia raa eiiiTujitahidi kujikaza kuongea kiingereza kinachoeleweka hatuna ujanja kwani hii ni lugha ya dunia. Nashauri viongozi wa haswa serikali hii wafanyiwe brush up ya miezi sita ya kuongea kiingereza. Tusipoangalia tutashindwa kufanya argument kubwa kwenye mijadala mikubwa inayohitaji uwezo wetu wa kushawishi jumuhiya na mashirika ya kimataifa
Huyo binti wa al JazeeraFahmida ndio nani mkuu??
AsanteNi reporter wa Al Jazeera kutoka Tz. Ukiangalia hiyo clip utamuona
Yes wapo kwenye kuandika story za kulipwa per Page kuwachafua watu na kuwapigia simu ili wafute ushaidi.......Waandishi wa habari Tanzania wengi wanatafuta penye maslahi, kama tetemeko la ardhi Kagera walishindwa ndio waweze kuandaa documentary ya kuhamia Dom?
Wenzetu mbele wameendelea, waandishi wao wanajua wanachokifanya. Huku kuna redio na TV hazizingatii taaluma bali tantalila zako tu na kujulikana.
Unategemea wamchukue mtu km Gigy Money akaandae documentary?
hatari,kuna haja TCRA iwalazimishe wawe na minimum number of graduates,na iwalazimishe wanaojihusisha na utafutaji habari wawe na minimum qualification kwenye mambo ya habari,may be form four na cheti cha journalism,awe repota au laa,kuna mmoja geita alikuwa mpiga picha za harusi,na kabla alikuwa msagishaji kwenye mashine za mpunga,mweusi tiii nafikiri kwa sababu ya zile mashine za enzi zile za dizeli
na singeliSisi tunachojua ni kurusha Chereko Chereko kwenye TV ya Taifa!