Nono
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,536
- 643
Inakusanya tozo.Kwani kuna chanjo ambayo imesha wahi kugunduliwa Tz? Pia serikali yetu inafanya nini ili kupata chanjo isiwe na shaka.
Inakusanya tozo.Kwani kuna chanjo ambayo imesha wahi kugunduliwa Tz? Pia serikali yetu inafanya nini ili kupata chanjo isiwe na shaka.
Napata picha mkuu kuzuia mjadala chanjo $$$$Sizitaki mbichi hizi. Chanjo dola 200 dozi moja, tutaweza kununua . Wafadhili tumeshawafrastrate, miradi ya kimkakati ndo hiyo inademdema.
Wewe utafiti wako uko wapi?Ndio faida ya kuongea bila kufanya utafiti.
Tatizo maabara zetu mbovu hawana uwezp wa kuitest io vaccine so ye kaona bora aropoke tu
Mkuu kuhusu data, zimewasaidiaje USA, UK, Italy, France etc. Je, vifo nchini mwao vimepungua kwa sababu ya kuweka data? Au unaweka data kuweka hofu tu?Kwenye hii mapambano ya Covid19, probably makosa pekee ya Magufuli ni kuficha data na kuruhusu wageni wavuke mipaka yetu na kuingia nchini bila haja ya kuonyesha negative test certificates.
Mtu hahitaji kuambiwa na Magufuli avae barakoa au anawe mikono kwa sabuni na kusanitize as many times as possible
Hakuna success story yoyote kutoka kwa Nchi zilizo impose lockdowns, kufunga mipaka na hata hizo chanjo zenyewe
Utalock down nchi au miji until when? Unalock down then unafanya nini - kusubiri beberu apate tiba then akupe msaada?
Watulie hatutaki chanjo, hizo chanjo nyengine ni hormones
Kurudi kwenye swali lako la msingi ni kwamba Corona ni jamii ya kifua kikuu!Kwani kupata chanjo inakufanya usiwe carrier?Kupata chanjo haikufanyi usiwe virus carrier,kwa hiyo kuendelea kuvaa barakoa ni muhimu ili kuepuka kuambukiza wengine.Halafu maswali yangu ya msingi hujanijibu hapo juu!
Kama hamjui huku kunaidhihirishia ulimwengu kuwa Tanzania ina watu wasio na elimu na wenye vichwa visivyojua kufanya lolote, intelectual capacity ya hao ma rais na wengine watu wakubwa waliokubali kuchanjwa inaweza ikalinganishwa na yakwetu, wanao washauri wazuri na wenye akili kubwa sana ndio maana walikubali chanjo, sisi tunatoka msituni tunapinga basi tukae kimya tuendelee kuamini vichwa vyetu kama vilivyo. isitoshe mwenye akili yake timamu na mwenye maono na hekima hawezi kungangania madaraka wala kuiba kura ili apite. naishia hapo.
Wabongo tulizeni mishono, nchi nyingi wanazotoa chanjo,wanatoa kwa raia wao tu,mfano uingereza ni NHS(National Health Service) peke yao ndo wana hizo chanjo,ina maana private hospitals ambazo ndo mgeni anaruhusiwa kutibiwa hawana hizo chanjo.Pia Pfizer na Moderna dozi moja ni $200, na inahifadhiwa katika sehemu za baridi sana,mazingira yake yanahitaji umakini wa hali ya juu kwani iki de frost lazima itumike.
US na Europe kuna shortage ya dose ya hizo vaccine, hivyo watu wa nyungu msiwe na wasiwasi
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Bunge lipi bro?Brazil wanataka ku- impeach RAIS wao JAI BOLSONARO , sisi sijui wale makanjanga walio jaa bungeni wanaweza kutoa uamuzi mgumu
Ulishawahi kujiuliza ugonjwa wa polio bila chanjo maisha yangekuajeWatulie hatutaki chanjo, hizo chanjo nyengine ni hormones
Wewe na yeye kwa Ujinga mlio nao ndo mtafika wapi? Watu wenyewe wagonjwa halaf mnatukana matabibu....Foolish, Mnazingua sana yanNaona unachuki kubwa sana dhidi ya rais wetu,nakuambia hutafika mbali,kunywa maji moyo uelee
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app