zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,048
- 28,696
1. Wewe ndio umedai hazipo effective sasa nakuuliza umefanya empirical study kugundua haziko effective au umetumia hisia tu?? Unajua maana ya burden of proof?Hebu tuwekee hapa hiyo 'scientific research' na ikathibitika kuwa ni credible, objective and reliable to be practised ili kila mmoja ajisomee ambayo imesheni ushuhuda kwa waliochanjwa wakajichanganya na waathirika lakini hawakuathirika ili tukuamini na hicho unakipigia chapuo huku ukibagaza viongozi wako.
Umeongelea kuhusu chanjo za surua, polio, nk kwamba kwanini hakuna alipinga kupata chanjo hizo? Swali , je kipindi hicho mazingira ya chanjo hizo yalipata changamoto kama za korona? Korona is na man made disease from one of the dignified laboratory experts....
Mabeberu tafiti zao zipo humu (angalia hiyo video inachambua comparative study ya vaccine dev't ya pfizer, Astrazeneca et al...)
Australia's given the green light to its first COVID-19 vaccine. But is it the one you'll get?
While the Pfizer vaccine has been given the green light for use in Australia, most Australians are expected to receive AstraZeneca's vaccine, which is much easier to distribute but not yet approved.
www.abc.net.au
So wewe unayebisha ndio prove otherwise coz facts on the ground ni kwamba zimepitia clinical trials na zimekuwa certified. Unless ww una elimu kubwa ya epidemiology kuliko Academia wa Bernard Hopkins, CDC-US, na WHO nzima!!
2. Hapa pia una rely on heresay without facts kma Rais wenu tu..... Unaweza eleza hyo Corona ilitengenezwa maabara gani. Btw nani aliyesema biological attacks haziwezi pata antidote? Maana formula ni kwamba ukishajua tu hyo corona iliyotegenezwa imetumia ingredient gani basi ww unaenda kufanya reverse engineerinh kupata kinga!! So sio hoja kwamba kitu kikitengenezwa hakiwezi kuwa na tiba.
Ni vizuri mijadala ijikite kwa facts sio hearsay