Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

Ebu tunga wewe aya moja inayohusu mambo ya mbinguni.
 
Ebu tunga wewe aya moja inayohusu mambo ya mbinguni.

Hizo riwaya za fiction, visasili na visakale tushazitunga sana. Ni wewe tuu uko limited.

Kula chuma;
Na siku itakapokaribia ahadi ya mwisho, mbingu zitafunuliwa kwa amri ya Mola wao, na nyota zitatoweka, na ardhi itatetemeka kwa kutikisika kwake; hapo kila nafsi itakumbuka yale iliyoyatanguliza na yale iliyoyaacha nyuma, na hakuna jambo litakalofichika mbele ya Mjuzi wa yaliyo wazi na yaliyofichika. Basi mwenye kutenda mema atapata rehema na amani, na mwenye kupuuza haki atajua kuwa ahadi ya Mola wake ni ya kweli; na kwake tu ndiko marejeo ya viumbe wote.
 
Maombi ya aina yoyote ya dini zote huwa na majibu, shida huwa usafi wa muombaji. Unataka majibu ya maombi yako wakati na wewe ni hasidi.

Hata wale wa mizimu, naoa maombi yao hujibu.
 
Wewe unachanganya siasa, dini na Imani. Ujifunze kutofautisha. Mungu ni wa utaratibu.

Sijachanganya chochote💪

msingi wa hoja ni ukweli wa imani za maombi yoyote iwe Al Badir au Maombi Mahakamani au popote kuombea
Walemavu Vipofu ugumba kuombea kufutiwa kesi nk. ‼️

Msingi ni ukweli wa Maombi miujiza yake
Namm nikatoa mfano pale Mahakamani yupo Dadake Lissu kazi yake kufumbisha macho ili miujiza ije lkn Mjomba Lissu inaonekana Lupango kunampenda zaidi 🤠🤠
 
Prayer doesn't work.

Ndio maana hata hizi Novena na Al Badir ni tricks za kutisha watu tu.

Hazina impact yoyote zaidi ya vitisho uchwara vya kisaikolojia tu!
Tatizo hata ukipewa mifano ya hayo maombi jinsi yalivyofanya kazi utakataa utasema hakuna uthibitisho, ndio maana mie naona watu kama nyie msioamini kabisa haileti maana kujiingiza kwenye mabishano kama haya.

Sasa mtu atakuja kutaka kuonyesha kuwa maombi yanavyofanya kazi wakati wewe hata hicho kinachoombwa hauamini kama kipo, sasa hapo mtaelewana kweli?
 
Kila muislam anamchukia anamlaani sana ,ni miaka sasa jamaa anawapasua tu kwanini msimsomee afe aache kuwatesa Waislamu wenzenu

USSR

Kwani Nyetanyau anauwa waislamu peke yao , mbona ameuwa wakristo wengi tu . Kwani wakristo hawana dua ya kuomba ??? si mliambiwa mkiomba chochote kitakuwa au umesahau ??

Pia anza kuomba CCM iondoke au Katiba mpya iandikwe hii leo na Lissu awe free

kuna aya kadhaa ambapo Yesu alisema kwamba ukiomba utapewa:

Mathayo 7:7“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa.”

Mathayo 21:22“Na yote mtakayoomba katika sala, mkiamini, mtapokea.”

Marko 11:24“Kwa sababu hiyo nawaambia, Yoyote myaombayo na kusali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.”

Luka 11:9“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa.”

Yohana 16:23–24 — Yesu anasema: “Mkiomba neno lolote kwa Baba, atawapa kwa jina langu… Ombeni, nanyi mtapata.”
 
Prayer doesn't work.

Ndio maana hata hizi Novena na Al Badir ni tricks za kutisha watu tu.

Hazina impact yoyote zaidi ya vitisho uchwara vya kisaikolojia tu!
Albadir(ahlul badri/waislam waliouawa vita vya badri enzi ya mtume) siyo prayer(sala/Dua) Bali ni uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…