Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,091
Lakini Muhamad hajaandika kitabu cha Qur'an, kitabu kiliandikwa miaka mingi baadaye baada ya kifo chake.Ni maneno yake acha kuwa mjinga.
Kipi kinathibitisha sio maneno yake?
Wewe ukiandika kitabu sasa hivi ukasema ni kitabu cha mungu wako labda tumuite Isesye. Kama alivyofanya Muhammad kuita kitabu cha mungu wake Allah.
Utathibitishaje ni kitabu cha Mungu na sio kitabu cha utunzi?
Jadili kwa hoja
Lakini Muhamad hajaandika kitabu cha Qur'an, kitabu kiliandikwa miaka mingi baadaye baada ya kifo chake.
By the way Muhamad hakujuwa kusoma wala kuandika.
Anzisha uzi kuhusu hilo lakini hapa tunanxungumzia albadiri na utapeli wakeNa Dadake Lissu pale Mahakamani kutupigia mikelele ya YESU YESU YESU unaweza unaweza mbona hakuweza uyo YESU YESU mbona Mwisho Kakake karudi Lupango kusafisha vyooo
vya KEKO
twambie kwaniniYESUYESU hakutaka kufanya miujiza ili Lissu aponyoke KEKO???
Muhammad hakujua kusoma Wala kuandika unajua hilo.?Ni maneno yake acha kuwa mjinga.
Kipi kinathibitisha sio maneno yake?
Wewe ukiandika kitabu sasa hivi ukasema ni kitabu cha mungu wako labda tumuite Isesye. Kama alivyofanya Muhammad kuita kitabu cha mungu wake Allah.
Utathibitishaje ni kitabu cha Mungu na sio kitabu cha utunzi?
Jadili kwa hoja
Muhammad hakujua kusoma Wala kuandika unajua hilo.?
Kila muislam anamchukia anamlaani sana ,ni miaka sasa jamaa anawapasua tu kwanini msimsomee afe aache kuwatesa Waislamu wenzenu
USSR
Anayepigana na Nchi za Kiarabu ni Marekani na wala sio Isarael!Kila muislam anamchukia anamlaani sana ,ni miaka sasa jamaa anawapasua tu kwanini msimsomee afe aache kuwatesa Waislamu wenzenu
USSR
Pointless.Kushinda huu
😀😀😀.mtu asiyejua kusoma na kuandika anawezaje kuwa mtunzi?Najua.
Lakini haiondoi ukweli kuwa yeye ndiye Mtunzi wa Quran.
Tumia akili. Kwa hivyo kutaja Yesu ndio Nini?.Na Dadake Lissu pale Mahakamani kutupigia mikelele ya YESU YESU YESU unaweza unaweza mbona hakuweza uyo YESU YESU mbona Mwisho Kakake karudi Lupango kusafisha vyooo
vya KEKO
twambie kwaniniYESUYESU hakutaka kufanya miujiza ili Lissu aponyoke KEKO???
Hakuna unalojua. Unaropoka tu. Kasome historia vizuri ya Israeli.Anayepigana na Nchi za Kiarabu ni Marekani
Israel ipo pale tu kama boya kwa sababu kituo kikubwa kabisa cha kijeshi cha marekani kipo pale. Hivyo marekani ikipiga Nchi Netanyahu kwa ujinga wake anafikiri ni sifa kumbe alionekana hamnazo kwa kukubali vita zote za marekani ziendeshwe Nchi pake.
Lakini pia hakuna cha Ajabu kwani; Lile eneo la Israel, ni marekani iliwapa mamluki wa kivita walio Isaidia marekani wakati wa vita kuu ya pili mwaka 1945. Inamaana kabla ya mwaka 1945 hapakuwa na Nchi inaitwa Israel na ndio sababu hata ukiangalia ramani za kale za biblia zinataja Nchi ya Palestina kwenye lile eneo.
😀😀😀.mtu asiyejua kusoma na kuandika anawezaje kuwa mtunzi?
Rudi huko nyuma ukaaulize. Unauliza jambo lililokwisha fanyika?Kwa nini ''mungu' Yesu asimuue kwanza Caiphas.Wayahudi Warumi na Shetani waliontundika msalabani baada ya kumshushia kipigo kikali?
El Porqueria imbecilic
Quran imeelezea Hadi habari za mbinguni na maisha ya mwisho wa Dunia kayatoa wapi hayo maneno?Mtunzi sio lazima ajue kuandika wala kusoma Yakhee!
Sisi waandishi tunaletewa kazi nyingi na watunzi, tunawaandikia kazi zao. Wao ndio watunzi.
Mwandishi anaweza kuwa mtunzi pia.
Hata Suleiyman hakuwa mwandishi ila aliandika vitabu vingi. Jiongeze
Au kitabu cha Mengi au Mkapa au Ali Hassan unafikiri walianzika wao? Ila wao ndio watunzi
Wewe unachanganya siasa, dini na Imani. Ujifunze kutofautisha. Mungu ni wa utaratibu.Nyinyi kwenu ile ndio Akili kubwa kumuomba YESU YESU ALELUYAAAAA YESU
Sasa kasaidia nini kama sio Mikelele tu Mahakamani
Kila hakija Mahakamani YESU YESU Aleluyaaaaa Ameeeennn YESU
Kwani pale Mahakamani hakuna Washitakiwa wengine mbona wanapambana kimyaa kimya
Badala kumbebesha Zigo uyo YESU wenu gumu
Mwisho nikama mnamdhalilisha tu kupitia Jina lake
Sheria na miujiza wapi
na wapi kama sio Utapeli na kusumbua watu na Mikelele
Mbona Waislamu hawana Utumbo utumbo kama ule????
Kila Kesi ikija YESU YESU
Kila Mshitakiwa pale nayeye aje na Madada zake waangushe Mikelele itakuwaje
Kwanini Mikelele isiwe uko Makanisani kwenu✅️
Tuseme siku iwe tofauti sasa Lissu kaachiwa
Manake washitakiwa wangine wataamini kwenye YESU na Mikelele pale Mahakamani ndio imesaidia
Sio Vipengele vya Sheria¿¿¿¿
Washitakiwa watajazana na Wana maombi pale
Mahakamani
Badala kulipa Wakili🫡 Suluhu ni kutafuta Wana maombi tu🫎🫎👈
kumbe ipo njia ya mkato‼️ kukwepa tuhuma zako kwa kutumia jina la YESU YESU Aleluyaaaaa
Ule ni Ushamba na Uzwazwa wa Kikristo mbele ya Mahakama
Na ni kumdhalilisha YESU mwenyewe kumtaka afanye miujiza‼️
Lini kawai kufanya miujiza ya Kisheria
Mnatumia jina lake kama
kondomu popote YESU Aleluyaaaaa YESU
Wale Majaji wengi ni Wakristo wanachukizwa kutumia jila YESU kwenye misingi ya Kisheria 👈
Kama miujiza ipo kwanini mikiumwa mnajazana mahospitalini si mkajazane kwa YESU Makanisani mupate miujiza mwende makwenu✅️
Yule Dada hachoki kujidhalilisha mwenyewe na jina la YESU
Kuna rafiki zangu Cristian wengi wanachukizwa na Yule
Dadake Lissu ❌️
Mnamtumia YESU vibaya
Kwani kule Lupango hakuna wafungwa wa Kikristo uyo YESU hakuwaona wale kabla ya kufungwa kwao‼️
Uyo Lissu mbele ya YESU ananini cha ziada ¿¿¿
mwisho Lissu anarudi Lupango
YESU kadhalilika waliofumba Macho kupokea maombi wanajionaje vile 🫎😥
watu wamechoka kufumbishwa Macho kindezi ndezi!👈
Kusema wanashindwa tu.
Mwambieni uyo Dada
Kama kumuomba YESU Aleluyaaaaa sawa✅️
lkn si hamuombe kimya kimya Moyoni
mwake au YESU kiziwi mpaka wapige Mikelele ndio anasikia🫡🫡
Wewe wasemaKwa ujumla,Ukristo na uislam ni upumbavu
Acha uongo. Na yule shehe majini au Dk Sulle? Waagua majini.Ukristo ndio umedhidi sn upumbavu
Tofauti na Waislam waislamu wapo kimyaa kimya
Kufanya mambo yao✍️
Huwezi sikia neno miujiza kuponya binadamu mlemavu kwenye kesi nk.
Yani wapo kimya
Tofauti na Wakristo wanajiaminisha
Sana kwamba miujiza
inawezekana🫡
kwaiyo bila aibu popote wanaomba miujiza miujiza itokee‼️‼️
mwisho wanapata aibu waombaji lkn hawakomi 🫡🫡
kesho tena wanaomba miujiza uyo Dadake Lissu tangu mwaka jana anaomba miujiza sio poa✍️
Quran imeelezea Hadi habari za mbinguni na maisha ya mwisho wa Dunia kayatoa wapi hayo maneno?