MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 621
- 612
Kuna chanel ambayo ipo dstv inarusha hii mechi ya yanga msaada plz
Hakuna channel inayorusha mpaka sasa ila matokeo 0-0 15dk
hacha ulongo wewe. Hapa morogoro tunaangalia kupitia abood tv
nilesports.com Live Al Ahly vs Young Africans | CAF Champions League 2014
Nile Sports Live TV | Egyptian Television online | Live from Cairo
[TABLE="class: infoTable"]
[TR]
[TD="class: infoName, align: right"]Kick Off:[/TD]
[TD="class: infoValue, align: left"]17:00 GMT (SAA 2 USIKU KWA SAA ZA TZ)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kaka wa Moro tupe habari current. YANGA inaongoza kwa mangapi ?

msaada kwenye tuta jamani, ni channel gani inarusha hiyo match liveeee, nijuzeni pleaseee
Half time zero zero
Lazima Mabingwa leo watolewe.YANGA juu juu juu zaidi
Kaka wa Moro tupe habari current. YANGA inaongoza kwa mangapi ?