Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

:hurt::hurt::hurt::hurt::smash::smash::smash:
 
Sisi wakazi wa morogoro tunapenda kuwapongeza kwa dhati kabisa uongozi wa Abood Media kwa kutuonyesha live mechi ya yanga na alahly LIVE kutoka misri.ingawa tumeshindwa lakini tumeiona mechi bure majumbani mwetu tena kwa HD .asanteni sana.
 
mbona azam nao wameonesha.
 
Aaaaaaya! Yanga kachapwa? Tulisema......... Simba imara Simba imara.. Yanga makopo Yanga makopo.....
 
kweli Yanga bahati haikuwa yao ingawa walishambuliwa sana. timu bora imeshinda
 
Sikuangalia mechi.mlioiangalia tujuzeni idadi ya mabao aliyofungwa yANGA!
 
Hivi nyie mmejua mpira juzi? Yanga hii ikashinde Misri? Wamejitahidi saaaaaaaaaana!
 
Back
Top Bottom