Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

Duuh wamekosa jameeni ya 4. Kipa katoa yao ya5
 
Mungu ijaalie Yanga itolewe na Alahly usiku huu Amin. Ahlahly tem fungu yawmga ao
 
Tumetoka wajameeeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Haijarishi umemsindikiza mgeni umbali gani, kama hujasafiri ni useless


YANGA MMEKAA
 
Yanga wametolewa kike;warudi bongo tuendelee na mchakato wa katiba mpya pamoja na ligi ya voda_vumbi hakuna lolote soka tz usanii tupu
 
Back
Top Bottom