Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

Leo wamesalimika?. Tatizo timu inaendeshwa kisanii na uongo wa kisiasa umekua mwingi. Hapo wangefungwa kesho wange kuja na hoja za kuelekeza nguvu kujenga uwanja baada ya ujenzi waanze kujenga tim kama Asenal chezea maharage ww ukishiba lazma usinzie
 
Hahaha! Namiye naunga mkono na miguu wapigwe tu! Tuheshimiane mana hatupumui!! We Rogie em kuja hapa!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Namiye naunga mkono na miguu wapigwe tu! Tuheshimiane mana hatupumui!! We Rogie em kuja hapa!

Haha Munkari hampui kwani Yanga ndio wameshika pumzi zenu?

Yaani leo naiona Al Ahly ileee inakufa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Haha Munkari hampui kwani Yanga ndio wameshika pumzi zenu?

Yaani leo naiona Al Ahly ileee inakufa


Sent from my iPhone using JamiiForums

hahaha! Afu wewe!! Tusiandikie mate! Ole wako!
 
Last edited by a moderator:
jombaa, nimefatilia hayo ma link naona kichina tu
 
NYWELE ZA SNURA ZIMEFUMUKA,NGASA URUDI HARAKA KUMSUKA HUKU
#tyta ! kwa ushahidi wa picha!!
 
Wadau kuna kituo cha Tv cha hapa nyumbani kitaonyesha mechi hii?
 
Habari za bunju kazi inaendeleaje huko leo ni siku ya tisa jaman vip watu wanajitokeza kama walivyo jitokeza kujenga jengo la club pale kwenye msonga mano?

Mkuu Kuku-Dume hiyo timu ya wauza kiwi na miswaki wamechoka, mambo ya kutegemea nguvu za giza yanawalostisha sana. Halafu wanajidanganya watajenga uwanja kwa kutumia majembe na makwanja. Mambo ya ujima haya mkuu.
 
Back
Top Bottom