Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
yanga bado wachanga
Toka mnyooshwe na LIBOLO hamna hamu Simba.
yanga bado wachanga
Fidyee leo jiaandae na magunia saba ya magoli..... alafu Yanga watarudi nyumbani mmoja mmoja !!Mwarabu leo anakaushwa kwao na hawata amini.
Taifa stars ikicheza hata ikiwa na wachezaji wa yanga tu nitaishangilia sana.Ila siwezi kuiombea heri Yanga iwatoe waarabu huko Misri,haiwezekani.Watatusumbua sana huku mtaani.AL AHLY NAOMBA MUWAFUNGE YANGA ILI TUHESHIMIANE HUKU KITAA.
#TEAM AZAM FC
yanga bado wachanga
Wana jf naomba kama kuna mtu anafahamu kuna channel ambayo inaweza onesha gemu ya yanga,na muda kwa ujumla,mana in jf kuna watu wanaofuatilia mambo kulivyo tunavyofahamu wengine,kuna watu wana decoder za qsat,azksky decorders
Nimeambiwa mpira unachezwa saa mbili usiku kwa saa za hapa nyumbani.
Naomba kujua kama utarushwa live na TV station gani???
Wazee wa AZAM mpo??
CCTV na Cartoon Tv...........!!!!!!!!!!!!!! Utanipa Matokeo Ya Huko Misri Mkuu.
Taifa stars ikicheza hata ikiwa na wachezaji wa yanga tu nitaishangilia sana.Ila siwezi kuiombea heri Yanga iwatoe waarabu huko Misri,haiwezekani.Watatusumbua sana huku mtaani.AL AHLY NAOMBA MUWAFUNGE YANGA ILI TUHESHIMIANE HUKU KITAA.
#TEAM AZAM FC
Nimeambiwa mpira unachezwa saa mbili usiku kwa saa za hapa nyumbani.
Naomba kujua kama utarushwa live na TV station gani???
Wazee wa AZAM mpo??
Ha ha ha....!hv cku ile ulivunja viti vingapi vile!?
hao wajinga yanga wanatandikwa tatu beseni..
Kusoma hujui na picha huoni?Nasikitika hujajibu maswali yangu..