Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akutwa na vyuma tumboni

Discussion in 'JF Doctor' started by Bajabiri, Apr 7, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Msichana mmoja amekutwa Tumboni mwake na vijiko 2 vya chai,misumar ya bati na vyuma kadhaa vyenye uzito wa gram 6,amesema alikua anasikia maumivu sana tumboni,daktari alomfanyia upasuaji amemshangaa sana.
  Akielezea kadhia hyo mama wa binti huyo ameshangaa,tukio hlo limetokea MusoMa
  sosi:wapofm
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,582
  Likes Received: 731
  Trophy Points: 280
  so huyo mwanamke hana idea hiyo michuma imeingije?
   
 3. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,186
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mmh! Huko MusoMa kuna mambo!
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,694
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  imewahi tolea pia maeneo ya ITIGI katika hospitali ya st.Gaspar ambapo mwanamke alitolewa KIKOPO CHA MAFUTA YA RAYS
   
 5. M

  Malikauli Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Mhhhh,vijiko 2 vya chai na misumari bado unasema uzito ni 6grams?Doubt!Kama ni kweli mimi nafkri katika stge fulani maishani mwake alivimeza hivyo hopeful akiwa mtoto
   
 6. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hii si kitu ya kushangaa! na wala si musoma tu, bali sehemu nyingi duniani. watu hawa huwa wana ugonjwa wa akili. na ugonjwa huu huitwa deep depression. wanameza vitu hivi kwa ajili ya kutaka kujiua. mtu yeyote mwenye ugonjwa huu mara nyingi hujiuwa kwa kujinyonga au kumeza sumu. wanameza misumari au nyuma si kwa kutanguliza ncha. ni ugonjwa mzito. inabidi wachungwe sana. kwani wakati wowote ule hujiua.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,072
  Likes Received: 1,318
  Trophy Points: 280
  Asante!
  Gram 6 tu inafika vijiko 2, misumari ya bati etc? Ama ni kg 6? Hata kama alimeza akiwa mdogo weight isingekuwa compromised! Na vilituama kwenye tumbo, like kupiga kambi peristalysis isivisukumie mbele?
   
 8. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 9,846
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Mmh pole sana mgonjwa.
   
Loading...