Bado nampigia simu jamaa mmoja msukuma anipe ufafanuzi kuhusu mtemi/chifu wa kike.Jina la jezi vipi
Jina la jezi vipi
Hakuna mtemi wa kike kwa wasukumaBado nampigia simu jamaa mmoja msukuma anipe ufafanuzi kuhusu mtemi/chifu wa kike.
Zile ambazo ni mrefu kuliko lile jiwe!Yes kwenye zile photo shop za royal tour.
Vidole vya washangiliaji sasa..duh