Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Ni kweli ila kama wakiwa wanaangamia au kuzama na msaada upo si dhambi kuwasaidia wainuke upya
Kama kwenye raha walikua wote na kwenye shida wabaki wote. Inaonyesha uyo mwanamke anamfanyie mme wake visa kwasababu anajua katumbuliwa.