Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Couldn't agree more (teh ulihisi nimepatwa lol)Aiseeh!maana sio kwa kudadavua huko!
Sometimes tatizo linakuja na baraka zake!
Cha msingi ni kulia na Mungu wako!l
Uvumilivu,subira na kumpata mtu wa kukufariji ndio vinahitajika la sivyo dunia utaiona chungu!
Hawa watu wanahitaji sana faraja mnoo!