Akirudi Kesho, Muoe

Akirudi Kesho, Muoe

Sikia jamaangu wa JF, ukipata sketi humu Jf, muite getto, mpe jiko lilopgwa mvua na mabox yaliyolowa maji na mkaa wenye unyevu awashe moto.. mpe maharage yenye mawe achambue... mpe mchele wenye machuya mengi achambue.. then kisha apike.. mkishakula, Jioni saa 11 mpe 1000 ya nauli ya bodaboda na mwambie kesho arudi.. KAMA Kesho akirudi, huyo MUOE kabisa usimwache...
Hata Faiza katika ujana wake hakuweza kunivumilia kihivyo...sembuse hawa watoto walaini kama sausages?
 
Mkuu kwani ndoa ni jeshi...mpaka umpe hayo maandalizi
 
Unadhani chakula kitapikika hapo? Uliwai wacha mkaa uliolowa????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom