WIFE MATERIAL

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Mchukue msichana umpeleke gheto halafu MPIME kwa kumpa jiko la mkaa lililolowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive apike ugali mle mshibe ikifika saa 12 Kama anakaa gongo la mboto mpe nauli 500 tu,
Akirudi tena kesho, MUOE kabisa huyo ni wife material usimuache...
 
Sehemu nyingine za dunia hawajui mambo ya jiko la mkaa wala kuchambua maharage, na wana wake wema
 
Mchukue msichana umpeleke gheto halafu MPIME kwa kumpa jiko la mkaa lililolowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive apike ugali mle mshibe ikifika saa 12 Kama anakaa gongo la mboto mpe nauli 500 tu,
Akirudi tena kesho, MUOE kabisa huyo ni wife material usimuache...
huna akili we....
 
sio kila mwanamke anaweza hayo ila kama kwao choka mbaya kesho lazima arudi na mabeg yake kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom