Mama mbona umekuwa mkali namna hyoGood luck dota.
Watuache tuNa wengine tulivyo wateke akaaaa
Nibembelezee jamaniMama yetu mpendwa espy naomba utusamehe wanao
Mtoto akijisaidia kwwnye kiganja hukat mkono unaosha tu
So kwa niaba ya mm na dota kipenz tusamehe wanao
Ngoja nimfate private aiseeeNibembelezee jamani
MmmmmhNimemkumbuka Benny ghafla maana angalau yeye alikuwa tu na ahadi hewa ila alikuwa na adabu na utii. He ll always be my son.
Bora uguneeMmmmmh
Haha ngoja tu niondoke, na hivi nishasuswaBora ugunee
Haya ni maongezi kati yangu na mwanangu, stay out of it.Halaf unasema sina adabu kwa maneno ya shombo hvi
Okay am out of it DadaHaya ni maongezi kati yangu na mwanangu, stay out of it.
Huyo mzaz wako Ana shida sana aiseeHaha ngoja tu niondoke, na hivi nishasuswa
Na alieanzisha nani? We mke si ushamchukua!! Shida yako nyingine nini?Huyo mzaz wako Ana shida sana aisee