Akirudi Kesho, Muoe

Akirudi Kesho, Muoe

Ndio maana mnaishia kuoa wanawake wenye sura mbayaaa ambao hawagombaniwi... Mtoto kisu umfanyie hivyo wakati akienda kwa vidume vyenzako anapata red carpet treatment arudi kwako kutafuta nini?
unaoa mke au sura?
 
Sikia jamaangu wa JF, ukipata sketi humu Jf, muite getto, mpe jiko lilopgwa mvua na mabox yaliyolowa maji na mkaa wenye unyevu awashe moto.. mpe maharage yenye mawe achambue... mpe mchele wenye machuya mengi achambue.. then kisha apike.. mkishakula, Jioni saa 11 mpe 1000 ya nauli ya bodaboda na mwambie kesho arudi.. KAMA Kesho akirudi, huyo MUOE kabisa usimwache...
 
tena yashindwe kwa jina la yesu
unaweza fanya vyote hivyo mpk kupikia kuni na kuolewa usiolewe
akaja kuolewa mwingine kabisa
Mtihan mdogo sanaa ila mnapenda mteremko...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom