Akina mama na matusi kwa watoto wao

Akina mama na matusi kwa watoto wao

Hii tabia kwa zenji n kama salam wazazi wa kike n kama hawajielewi pita maeneo ya jang'ombe,miembeni,nagomeni kwenye magorofa ya michenzani na kiliman daah!! utasema wazazi wa kiume hakuna mtoto anabebeshwa mzigo wa matusi mpaka ww jirani unaogopa na tjuavyo mtoto akili yake n kukopi na maisha yanaendelea hakuna nidhamu ya mzazi kwa mtoto hata kidogo tunaendesha maisha kama tumelazimishwa ili hali unatakiwa kujipangia,

Wakati nikiwa kwenye pitapita zangu nilishuhudia mzazi anamwambia mtoto wake wa kiume kuwa ucniletee usenge wako hapa sasa nikajiuliza mtt huyu usenge anaujua wapi.

Wazazi tubadilike maadili yametupita sana hatutambui maneno ya kuongea mbele ya watoto na yakuongea kwenye vijiwe vyetu kama watu wazima
 
Halafu kina baba wamekaa kimyaaa. Ama sijui hangovers hawajaamka? Ngoja niwaite one by one.
Ntuzu, Eiyer, Eliphaz the Temanite, dogo Excel, Eli79, OLESAIDIMU, kobun mtzmweusi

Karucee upo rafiki!!
Hakuna kitu kibaya kama kufunza mtoto tabia mbaya za kutukana ama kudharau akiwa mtoto mdogo! Tabiwab=a hizi haziishi hata akiwa mkubwa! Unakuta wazazi wanagombana hadharani mbele ya watoto baba anashusha kipigo kwa mama mbele ya watoto I see yaaani unaharubu watoto
 
Nipo besti, majukumu tu.

Wazazi tubadilikeni.
 
Back
Top Bottom