Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
aise sipendi kusikia matusi tena ya kutukana viungo vya wanawake kuna siku niko bagamoyo wamama wanatukana matusi makubwa hata aibu hawana nikaulza nikaambiwa wazaramo nikawaida kutukana
Stress za maisha, unakuta moyo umejaa, sina hela, nadaiwa kodi gari mbovu matengenezo yake ni milioni mbili, term ya kwanza mtoto ndo imeisha akifungua nafaiwa ada, huku mkwe anaumwa kumuuguza, huku nyumba nnayojenga haijaisha, mlo wa kazini wa kubangaiza na kujidai unafanya diet kumbe hela huna wenzio kila siku wanakyla lynch za elf sita kwenda juu, sasa kichwa hiko halafu mtoto home anakwambia mama tumefunga shule lakini natakiwa hela ya tuition na hapo ripoti yake kafeli wee lazima wabwatuke, huku na huku house girl katoroka. Mie siwatetei as niko single ila nimewaza tuu wanayoyabeba vichwani mwao mmmhhh sjui kama ntaweza!! Hapo tena hujakutana na mmama mumewe hana kazi weeeh hiyo mineno inayorushwa ndani ya nyumba usiseme.
Halafu kina baba wamekaa kimyaaa. Ama sijui hangovers hawajaamka? Ngoja niwaite one by one.
Ntuzu, Eiyer, Eliphaz the Temanite, dogo Excel, Eli79, OLESAIDIMU, kobun mtzmweusi
Ukiona mwanamke anamtukana mwanae matusi mazito jua hata mumewe anatukanwa hivyo hivyo. Wanawake badilikeni. matusi hayafaiHalafu kina baba wamekaa kimyaaa. Ama sijui hangovers hawajaamka? Ngoja niwaite one by one.
Ntuzu, Eiyer, Eliphaz the Temanite, dogo Excel, Eli79, OLESAIDIMU, kobun mtzmweusi
Hahahaaha. Good morning hun.
I miss you.
Water with each drink, utasahau kabisa hangover.
Kuna wanawake wana matusi jamani
Anamwachia mwanae tusi zito kali hadi roho inakusisimka
Halafu mwisho wa siku watoto wanaiga,
Ndo unakutana na katoto ka miaka 3 anakuachia tusi hadi unapata kizunguzungu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Du Kaka umnikumbusha Karucee wangu leo kaja kivingine kabisa maana kawa mpole na kutukanya kabisa leo hana Hang-Over
Nakumbuka story zake za kuwa Konda wa Daladala au ile ya mjamaa kuupanda mnazi kule beach kwa ajili ya NDUMU
acha mchezo km unatumia kuna ma2 ikupande uwatukane mpaka wanao au ikupe HangOver week-end yote iishe KIPI BORA?
Halafu kina baba wamekaa kimyaaa. Ama sijui hangovers hawajaamka? Ngoja niwaite one by one.
Ntuzu, Eiyer, Eliphaz the Temanite, dogo Excel, Eli79, OLESAIDIMU, kobun mtzmweusi