Akina mama na matusi kwa watoto wao

Akina mama na matusi kwa watoto wao

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Habarini za Leo Wapendwa.

Kwa wenye hangover poleni!! Next time take water with each drink.

Sasa bwana sijakosea wala nini. Hii mada inahusu kina mama manake sijawahi kuona ama kumsikia mwanamme akimtukana mwanae.

Unamkuta mdada/ mmama anamtukana mtoto matusi mazito mazito. Anamwambia mtoto maneno ya ajabu mpaka unatamani ujifunike uso mpaka ukipita sehemu ile. He? Hivi unaanzaje anzaje kumtukana mtoto uliemzaa mwenyewe? Dah. I wish naweza kuandika baadhi ya hayo maneno but hayaandikiki.

Kwa kosa lipi unaanza kumueleza mtoto in the crudest words alivyopatikana? Mara ooh mimi si mama yako kamtafute mama yako. Humo humo unajumlisha na baba ya mtoto. What kind of upbringing is this? Kama una ugomvi na baba mtoto can you please keep the kids out of it.

Kama wewe una tabia hiyo please sober up na umkanye na mwenzio.

Change begins with you and me.
 
Wengi wanaotukana watoto hivyo wanaliwa 0713

Na wapo uswahilini sana pumbaf zao huwa wananiudhi sana poleni watoto wote mnaozeeka masikio yenu kabla ya muda
 
Nimecheka bila kutaka. Inakeraaaaa!!
 
Stress za maisha, unakuta moyo umejaa, sina hela, nadaiwa kodi gari mbovu matengenezo yake ni milioni mbili, term ya kwanza mtoto ndo imeisha akifungua nafaiwa ada, huku mkwe anaumwa kumuuguza, huku nyumba nnayojenga haijaisha, mlo wa kazini wa kubangaiza na kujidai unafanya diet kumbe hela huna wenzio kila siku wanakyla lynch za elf sita kwenda juu, sasa kichwa hiko halafu mtoto home anakwambia mama tumefunga shule lakini natakiwa hela ya tuition na hapo ripoti yake kafeli wee lazima wabwatuke, huku na huku house girl katoroka. Mie siwatetei as niko single ila nimewaza tuu wanayoyabeba vichwani mwao mmmhhh sjui kama ntaweza!! Hapo tena hujakutana na mmama mumewe hana kazi weeeh hiyo mineno inayorushwa ndani ya nyumba usiseme.
 
Majukumu sio sababu ya kuelekezea mistrec kutukana watoto
 
Labda na hao wamama ndivyo walivyolelewa katika mazingira ya kutukanwa na wazazi wao so wanaona kawaida kutukana watoto wao pia
 
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo..ikisha watoto haohao wakitukana wanachapwa umefundishwa na nani matusi!Tunalea watoto wetu kutokana jinsi sisi tulivyolelewa...lkn si werevu kwa mtazamo wangu kwasababu mzazi ndo mfano ambao mtoto huiga ni outcome yako... mimi nampa mwanangu vyote ambavyo nimenyimwa mm katika makuzi yangu na namuepushia niliyopewa na ambayo sikunufaika nayo!
 
Kwa sie wa uswahilini matusi yanatumika kama lugha unganishi.....
Wengine ni desturi yao hiyoooo

Dogo akija kumtusi ***** mbele ya wageni anasingizia watoto wa sikuhizi....Anasahau yeye mtoto wa zaman ndo kawa mwanzilishi dogo anamalizia tu kiitikio...

Mzazi lazima ujiheshimu kaitka lugha unazotumia mbele ya watoto,japo wapo wengine wakisikia mtoto katukana wanafurahia na kusema "yani jaman vaislay anamaneno kweli sikuhizi"..Thats rubbish!
 
Stress za maisha, unakuta moyo umejaa, sina hela, nadaiwa kodi gari mbovu matengenezo yake ni milioni mbili, term ya kwanza mtoto ndo imeisha akifungua nafaiwa ada, huku mkwe anaumwa kumuuguza, huku nyumba nnayojenga haijaisha, mlo wa kazini wa kubangaiza na kujidai unafanya diet kumbe hela huna wenzio kila siku wanakyla lynch za elf sita kwenda juu, sasa kichwa hiko halafu mtoto home anakwambia mama tumefunga shule lakini natakiwa hela ya tuition na hapo ripoti yake kafeli wee lazima wabwatuke, huku na huku house girl katoroka. Mie siwatetei as niko single ila nimewaza tuu wanayoyabeba vichwani mwao mmmhhh sjui kama ntaweza!! Hapo tena hujakutana na mmama mumewe hana kazi weeeh hiyo mineno inayorushwa ndani ya nyumba usiseme.
Vaislay amejibu vizuri. We are Mothers. We are supposed to be strong! Hata watoto wasijue tuna stress.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi huwa nashangaa sana aisee, ila ni uswazi tu. Mtu anamuita mwanae mwana haramu, maneno ya ajabu ajabu! Ndo maana nae akikua utakuta anagombana na mama yake wanatukanana, hujui mtoto nani mama nani
 
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo..ikisha watoto haohao wakitukana wanachapwa umefundishwa na nani matusi!Tunalea watoto wetu kutokana jinsi sisi tulivyolelewa...lkn si werevu kwa mtazamo wangu kwasababu mzazi ndo mfano ambao mtoto huiga ni outcome yako... mimi nampa mwanangu vyote ambavyo nimenyimwa mm katika makuzi yangu na namuepushia niliyopewa na ambayo sikunufaika nayo!

Haswaaaa. Mashallah.
 
Hata mimi huwa nashangaa sana aisee, ila ni uswazi tu. Mtu anamuita mwanae mwana haramu, maneno ya ajabu ajabu! Ndo maana nae akikua utakuta anagombana na mama yake wanatukanana, hujui mtoto nani mama nani

Zenji ndo usisemeeeeee.
 
Dah kweli kabisaa yani hapa ninajirani yangu anaongea balaa sasa mwanae amkere mama wee hiyo mitusi utaskia ku..ba..bako m..s..e..nge mkubwa wee! Dah hapo pengine baba mtu yupo ndani kimyaaa yani naonaga aibu kama nimetamka mimi vilee naingiaga ndani kimyakimya! Sasa mi huwa najiuliza incase huyo mtoto kakurudishia hiyo mitusi ama katukana wenzie utamchapa??
 
Mtoto akiwa ------ kweli atalia?
 
Stress za maisha, unakuta moyo umejaa, sina hela, nadaiwa kodi gari mbovu matengenezo yake ni milioni mbili, term ya kwanza mtoto ndo imeisha akifungua nafaiwa ada, huku mkwe anaumwa kumuuguza, huku nyumba nnayojenga haijaisha, mlo wa kazini wa kubangaiza na kujidai unafanya diet kumbe hela huna wenzio kila siku wanakyla lynch za elf sita kwenda juu, sasa kichwa hiko halafu mtoto home anakwambia mama tumefunga shule lakini natakiwa hela ya tuition na hapo ripoti yake kafeli wee lazima wabwatuke, huku na huku house girl katoroka. Mie siwatetei as niko single ila nimewaza tuu wanayoyabeba vichwani mwao mmmhhh sjui kama ntaweza!! Hapo tena hujakutana na mmama mumewe hana kazi weeeh hiyo mineno inayorushwa ndani ya nyumba usiseme.

Sasa ukimtusi huyo mtoto stress zitaisha?
Ni kuwatwisha mizigo isiyowastahili tu watoto na kuwafanya wakose staha nao.
Kuwa mama kunaambatana na mengi ikiwemo kuhakikisha stress zako za maisha haziwaathiri watoto.
 
Mama anamtukana mtoto eti mbwa, huku kamzaa mwenyewe....sijui naye ni mbwa, inawezekanaje mtu kuzaa mbwa...

Habarini za Leo Wapendwa.

Kwa wenye hangover poleni!! Next time take water with each drink.

Sasa bwana sijakosea wala nini. Hii mada inahusu kina mama manake sijawahi kuona ama kumsikia mwanamme akimtukana mwanae.

Unamkuta mdada/ mmama anamtukana mtoto matusi mazito mazito. Anamwambia mtoto maneno ya ajabu mpaka unatamani ujifunike uso mpaka ukipita sehemu ile. He? Hivi unaanzaje anzaje kumtukana mtoto uliemzaa mwenyewe? Dah. I wish naweza kuandika baadhi ya hayo maneno but hayaandikiki.

Kwa kosa lipi unaanza kumueleza mtoto in the crudest words alivyopatikana? Mara ooh mimi si mama yako kamtafute mama yako. Humo humo unajumlisha na baba ya mtoto. What kind of upbringing is this? Kama una ugomvi na baba mtoto can you please keep the kids out of it.

Kama wewe una tabia hiyo please sober up na umkanye na mwenzio.

Change begins with you and me.
 
Kwa kweli si tabia mnzuri kuna wamama wana midomo michafu kwa watoto wao yaani mpk unajiuliza kwani amezalia nn,kuna siku moja mama mmoja alimtukana mwanae wa kiume 'mbwa wee'yule mtoto alimjibu mama yake kama mm mbwa basi we jibwa , mzazi alikaa kimya kwa aibu
 
Back
Top Bottom