Akina Mama Hawa Vipi Tena?

Akina Mama Hawa Vipi Tena?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
Kulia wamekaa wazeewazee kushoto "vijana" wa jana.....hawa wa kulia wamekunjama mikono yao wakati hawa wa kushoto wameachama mikono yao kimapozi. Kulia wana magauni kushoto masuruali. Kulia kuna vimisalaba vifuani kushoto hakuna! Ni protokali mpya au nini? Tuelimishane please

DSC_0173.JPG
 
Ngoja wwaje wenyewe wa kutoka Chuo cha Diplomasia aka wazee wa PROTOKALI watujuze!
 
Ndiyo uzuri wa kuwa na Ujuzi wa kitaaalamu, mambo ya kumnyenyekea mtu ili akuteue vitu maalumu wamewaachia wenyewe upande wa kulia wa Mzee.
 
Kuna kitu inaendelea hapa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kulia mavazi yao yanataka kufanana na wa kati, wakati kushoto rangi tofauti.
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani walichukua siku nyingi katika kuandaa hiyo picha.
 
Huyo wa kulia shauri yenu. Mi nazipenda sana kucha zangu.
 
Tunaambiwa wakiwezeshwa wanaweza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom