Akina dada tuache woga tumuenzi Regia

mpoleeee

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
310
130
Dada Regia Mtema alikua anatuwakilisha hapa jf na uraian. Nawaomba wanawake wenye vipaji vya siasa hapa jf mjitokeze na muache woga na kujificha katika kupambana kwa manufaa ya nchi yetu bega kwa bega na wanaume kama njia moja wapo ya kumuenzi. R.I.P dada regia.
 
labda wewe ndo mwoga mi siogopi mtu napeperusha bendera ya cdm kwa kwenda mbele hapa wanaume wenyewe wananikubali.
 
Dada Regia Mtema alikua anatuwakilisha hapa jf na uraian. Nawaomba wanawake wenye vipaji vya siasa hapa jf mjitokeze na muache woga na kujificha katika kupambana kwa manufaa ya nchi yetu bega kwa bega na wanaume kama njia moja wapo ya kumuenzi. R.I.P dada regia.

Naona sijaelewa, wajitokeze, waache woga na kujificha na wapambane na yapi haswa? please fafanua zaidi
 
Sawa Mpolee, wazo zuri nafikiri ni namna tu sasa ya kujipanga kimkakati kuhamasisha wadada wajitokeze na kuwajengea uwezo zaidi.
 
Back
Top Bottom