Akina dada msijidanganye

Akina dada msijidanganye

NDOA & WADADA ABOVE 30 ni the hottest topic hapa JF inahitaji tuzo kwa kwel
 
Kwani umri sahihi wa kuolewa ni upi? Na ni wapi pameandikwa kuwa kuolewa ni lazima? Na nyie wanaume mbona wengine umri umeenda sana lkn hamuoi mna matatizo gani? Utakuta mtu ana 45 hana ht mpango wa kuoa mbona sie hatuwasemi?

Acha mtu aolewe au aoe muda anaotaka hata kama ni miaka 50.
Labda utujuze wewe mtoa mada unakereka na nini ukiona mwanamke above 30 hajaolewa? Tafuta wa kwako below 30 umuoe utulizane nae. Maisha ya watu wengine yaache kama yalivyo au nenda kawahubirie dada zako hiyo mada. Tunaishi tutakavyo sio utakavyo wewe!!

Utawafanya wadada wa watu wakimbilie kuolewa kisa umri unaenda. Ndoa hailazimishwi..lazima ujiandae uwe tayari. Life is so simple tatizo kuna watu wachache wanacomplicate vitu visivyo na maana.
 
Mtoa mada umejeruhi hisia zangu.
Kua 30 bila ndoa umenihukumu kua
Nina tabia chafu, sina haki ya kuitwa mama mwenye nyumba, hadhi yangu ni kufunikwa na kufunuliwa, ni mbaya sina mvuto wa sura...
Dah... imeniuma sana. Nawaza kama ndivyo jamii ituonavyo MUNGU awe Wakili wetu.
Maisha yana changamoto nyingi, mahusiano pia yana changamoto zake.
Ila katika yote namshukuru Mungu anaetupa pumzi, furaha na Amani.

Dah nimesikia huzuni sana kwa post hii, Never give up mdada Mungu bado yupo nawe and He never said Goodbyee.
 
Mtoa mada umejeruhi hisia zangu.
Kua 30 bila ndoa umenihukumu kua
Nina tabia chafu, sina haki ya kuitwa mama mwenye nyumba, hadhi yangu ni kufunikwa na kufunuliwa, ni mbaya sina mvuto wa sura...
Dah... imeniuma sana. Nawaza kama ndivyo jamii ituonavyo MUNGU awe Wakili wetu.
Maisha yana changamoto nyingi, mahusiano pia yana changamoto zake.
Ila katika yote namshukuru Mungu anaetupa pumzi, furaha na Amani.
pole sana, Mungu ni mwaminifu, mtoa mada nazani hana dada wala ndugu wa kike, hana hisia za kujali wanawake, ila usijali, malipo ni hapa hapa duniani, ombea mema wanaokuudhi. Mwanadamu hata akikuonaje cha msingi ukumbuke wewe ni wa thamani machoni kwa Mungu. Pole kwa majeraha.
 
inaitaji moyo kusoma uzi wako kutokuolewa haimaanishi umefunuliwa sana
ukikua utajua naongea nini
 
sijaoa bado kama vp tuanze mm na ww badiebey au unasemaje

mapenzi mi nimestaafu kidogo for now...shaurilo ukute mkeo mtarajiwa ana 35...maisha yanamkuta kila mtu in a different way
 
Last edited by a moderator:
Huyo mama ni aibu tupu hata sijui kama anaweza kukaa meza moja na first lady wa Bongo.Jamani Kenya wanahitaji maombi ya nguvu aisee!!
Unajua kuna magonjwa ya psyche ambayo nadhani huyu mama anayo lakini kwa vile ni mke wa 'Rais' basi hapelekwi hospitali...kila kitu ni hush hush.

Mmmmm....
 
mapenzi mi nimestaafu kidogo for now...shaurilo ukute mkeo mtarajiwa ana 35...maisha yanamkuta kila mtu in a different way

hakuna kitu kama hicho badiebey mke wangu yupo 27 yrs tofauti 1 yr na mm kwahyo starajii kuoa over 30 yrs japo ni wazuri kwa kila idala.
 
Last edited by a moderator:
How is monile for every body: Leo nmeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka mashart lukuki tena magumu.

Mara nataka mwanaume handsome,mcha Mungu, mwenye elim ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.

Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je ww ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumban?

Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumban na huna mume maana yake tabia yako ni chafu hauna hadhi ya kuitwa mama mwenye nyumba au mke wa flan ila hadhi yako ni funuliwa funikwa. Unataka mwanaume handsome ww ni handsome?

Kitendo cha ww kuzeekea nyumban maana yake ww ni mbaya huna mvuto wa sura wala tabia ila utakuwa wa kumalizia haja tu kwa wapita njia.

Wazuri wote wapo kwenye ndoa zao. Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake et nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu ww umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?

Mm nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.

KWAHERINI

You earned my respect.
respect.jpeg
 
Umevurugwa wewe...!!! Ulitaka akukubalie easy easy tu....he he heeeeeee!!! Et...ooohh mtafunuliwa mpaka mkomeee...kwan mdada anapofunuliwa huyo anaemfunua naye hachojoi? Mbona anachojoa na mauno anayakata mwanzo mwisho....na wote mnaskia utamuu...so nn kinaharibika?!! So far maisha ya huyo mdada hayakuhusu!!! Stay away from women of this generation....satan!!!! mmmmssxxxuuuuuu.....
 
Kaka angu, yani umewafuatilia weee unakuta vigezo na mashart kuzingatiwa, sasa naona izo ni hasira tu,
 
Kuna lijanamke nilikutana nalo, Bovu bovu na liko aged sio kidogo ila haliwahi kuolewa na wala halina mtoto still lipo home kwao. Bac likaanza kunipa masharti na virungu juu mara leo nataka dila kesho nataka viatu. Nilicho kifanya ni kuligegedua na kulibrock. Ctaki hata kuona namba ngeni najua ni lenyewe tu=======>
 
Hivi hakuna maisha bila kuolewa?
Wanaume mwapenda nyie ndo mchague tena kwa masharti na vigezo lukuki na siyo mwanamke kuchagua apendacho??

Tunachagua coz wanaume ndio humfuata mwanamke na kumwambie anampenda, Nyie hamkuumbwa hvyo. Mnasubili kuchagulia na kuliwa tu.
 
Back
Top Bottom