Akina dada msijidanganye

Akina dada msijidanganye

ww dogo usishushe lawama bure mm hapa sijantukana ntu mm nmeongelea upande wa selective sasa ww kama imekugusa kaa fikiria namna ya kujirekebisha
pole wewe ambaye watafuta na umesumbuliwa mie nina mke wangu nawaombea ambao bado hawajapata ndoa siku mmoja watafanikiwa usijali jipe moyo nawe utapata wako ila sio kwa kumtukana dada yako. Heshimu kina dada.
 
hahahahahaaaa! Punguza munkari bwana mdogo. Huo ni ujumbe tu kwa jamii hii. Tambua kuwa ntu yeyote anapotoa ujumbe flan ujue utapokelewa tofauti na hadhira iliyopo. Kila ntu ataupokea kulingana na hali iliyopo na aliyo nayo. Kuna ambao ndoa wanazitafuta kwa hamu sana na hawazipat bila shaka hao wataniona nawatusi kuna ambao wanatafutwa waolewe ila wanaishia kuweka mashart magumu tena yasiyo na msingi hao ndio nakula nao sahan moja. Kuandika haya haimaanishi kuwa mm sna nke sawa mkuu
 
Mkuu wanawake wana msongo wa mawazo humu,we mtu umri unasonga hakuna hata aliyetishia kukuoa mchezo,lazima mtu apagawe...na kuishi bila kuolewa huko NIKUDUMU siyo kuishi...
 
Weweeeee acha kululetea ujima huuu! Hivi mimi na elimu yangu nikaolewe na Msukuma guta flani au muuza nyanya Buguruni kisa naogopa kutokuolewa? Hivi mimi nikajilipie mahari, nikajinunulie gauri la harusi na kumnunulia bwana harusi suti ili nionekane nimeolewa huku nafsi yangu inanisuta nimeoa mimi?????
Idadi ya waoaji kwa maana wanaume wanaojitambua ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wanawake wanaojitambua!
Sasa unaweza kuona sababu zinazopelekea tusiolewe kwa rate unayotaka wewe!
Ndoa si kuvaa shela na pete ni "commitments na responsibilities" ! Acha tuozee kwenye mahekalu yetu siyo kutulazimisha tuolewe na magarasa!
 
Hivi wanawake wa umri huo, wa design hii, makwenu hawapo?
 
umeona sasa msukuma sio ntu? Ww binti ww ngoja waje akna ngosha
 
Hahaaa soma vizuri siyo msukuma kwa maana ya tribe! Mkokota guta! Kwanza nawapenda sana wasukuma na ninaomba Mungu anipe mmoja anayejielewa! Nimeona wanavyotunza ndoa zao!
 
acha dharau sista, kwa hiyo wa kuolewa na "msukuma guta au muuza nyanya" buguruni ni nani kama sio nyinyi wadada? Kwanini huwa mnaangalia "status" ya mtu na si kumpenda mtu alivyo ? What a weakness!!!
 
Mkuu wanawake wana msongo wa mawazo humu,we mtu umri unasonga hakuna hata aliyetishia kukuoa mchezo,lazima mtu apagawe...na kuishi bila kuolewa huko NIKUDUMU siyo kuishi...

Stress ya kuolewa tunayo wala si uongo! Waoaji wenyewe wako wapi? Manake kama ndiyo ninyi mnaoleta arguments zilizo shallow kiasi hiki jamani halafu mna expect tuwakubali kirahisi kutumiliki na kutuongoza! Si tunajichimbia makaburi??? Yaani tuongozwe na "dhaifu"!
 
acha dharau sista, kwa hiyo wa kuolewa na "msukuma guta au muuza nyanya" buguruni ni nani kama sio nyinyi wadada? Kwanini huwa mnaangalia "status" ya mtu na si kumpenda mtu alivyo ? What a weakness!!!

Anaoa wa status yake! Rmember a man is a provider in a house! sasa ndiyo sababu tunapenda lakini tunatumia akili pia! Mapenzi yenyewe ni sehemu ndogo tu katika kuingia kwenye marriage institution! Ili ku run hii institution tunahitaji mwanamme responsible atakaye take care a family! Mapenzi hayalipi rent, haya leti ugali mezani, hayalipi Skul fees, hayatoi matibabu na hayana majibu katika suala zima la uchumi wa familia!
Sorry kama nimeku offend lakini mi siumi maneno niko straight!
 
Hata hao wenye ndoa zao tupo nao whatsaap hadi asubuhi;
Watu wanaishi ndoani kwa mazoea tu waache wadada wa watu muda
ukifika nao wataolewa tu.
 
Kwa taarifa yenu ninyi wanaume, sisi wanawake tunapenda kuolewa mno! Ni kitu tunachodream nafikiri kuliko hata ninyi! Ninyi mnawaza career zaidi akati sisi tunawaza career kidogo, kuolewa na kupendwa na kuwa protected! Tatizo letu tuko makini kutafuta mlinzi mwenye silaha kubwa ya kutulinda kuliko anayetumia ngumi peke yake! A potential man!
Bahati mbaya wenye silaha kubwa ni wachaxhe sana! Wenye ngumi ndiyo wengi akitokea jambazi atatuangamiza ! Mwenye ufahamu na atambue!
 
Hahaaa soma vizuri siyo msukuma kwa maana ya tribe! Mkokota guta! Kwanza nawapenda sana wasukuma na ninaomba Mungu anipe mmoja anayejielewa! Nimeona wanavyotunza ndoa zao!

hapo sawa. Tena ukimnasa msukuma na ukampa mambo nakwambia utakula raha vbaya mno
 
Hata hao wenye ndoa zao tupo nao whatsaap hadi asubuhi;
Watu wanaishi ndoani kwa mazoea tu waache wadada wa watu muda
ukifika nao wataolewa tu.

mmmmh! Ww mama ww! wewe unakula raha kwenye ndoa huku unawadanganya mabinti
 
Stress ya kuolewa tunayo wala si uongo! Waoaji wenyewe wako wapi? Manake kama ndiyo ninyi mnaoleta arguments zilizo shallow kiasi hiki jamani halafu mna expect tuwakubali kirahisi kutumiliki na kutuongoza! Si tunajichimbia makaburi??? Yaani tuongozwe na "dhaifu"!
Kwa kujiheshimu na kukaa katika mpango unaotakiwa bila kuishi katika mawazo ya filamu na tamthilia huyo wakukuongoza yupo,na kwa asili mwanaume ameumbwa kumuongoza mwanamke,yaan haijalishi yupoje kimtazamo hiyo ndo misingi ya ulimwengu ilivyo..
 
haahahha...kwikwikwikwi.......jamanieeee, mbavu zangu, huu uzi nauprint nikaubandike geto...dah. mgirik we acha , mimi nilimbiwa niende jim kwanza eti angalau niwe na tumisuli kidogo. Dah Mateso haya

Hahahahaa benteke huachi kunichekesha nani tena uyo
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa yenu ninyi wanaume, sisi wanawake tunapenda kuolewa mno! Ni kitu tunachodream nafikiri kuliko hata ninyi! Ninyi mnawaza career zaidi akati sisi tunawaza career kidogo, kuolewa na kupendwa na kuwa protected! Tatizo letu tuko makini kutafuta mlinzi mwenye silaha kubwa ya kutulinda kuliko anayetumia ngumi peke yake! A potential man!
Bahati mbaya wenye silaha kubwa ni wachaxhe sana! Wenye ngumi ndiyo wengi akitokea jambazi atatuangamiza ! Mwenye ufahamu na atambue!

ewaaa! Wakat unatafuta mwenye silaha nzito je ww una hadhi ya kulindwa na hyo silaha?
Kwann uchague kulindwa na siraha kubwa na ya msaada wakat uwezo wa adui ni mdogo?
Unaweza kujikuta hadhi yako ya kulindwa na finger tu halafu unajikweza na kutaka ulindwe na RPG hapo lazma udode tu piga ua
 
Back
Top Bottom