Akina dada msijidanganye

Mimi nini mkuu? Kama ni mimi umepatia, kuna mambo meengi yanasababisha mtu kuolewa/kutokuolewa au kuoa/kutokuoa....ukiangalia kwa sababu za juu juu unaweza ukaungana na mkuu Mgirik katika sababu alizotoa.

mkuu nadhan umenisoma jujuu. Lakn ungenieewa kiundan zaidi usingesema hivyo. Nmeongea hvyo kuna namna namaanisha
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni ndoa au business partnership?
 

Mkuu, mwanamke hawezi kuwa handsome. Anaweza kuwa beautiful!
 
Kwa masharti haya....KWAAHEEERI
 
mkuu nadhan umenisoma jujuu. Lakn ungenieewa kiundan zaidi usingesema hivyo. Nmeongea hvyo kuna namna namaanisha
Nimekuelewa sana mkuu Mgirik...Hata magari used yanashuka bei? Gari la zero KM na Used one bei zinakua tofaut sio? Kwa hiyo kwao ni kinyume sio? Hahahaaa haya mkuu...
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada umejeruhi hisia zangu.
Kua 30 bila ndoa umenihukumu kua
Nina tabia chafu, sina haki ya kuitwa mama mwenye nyumba, hadhi yangu ni kufunikwa na kufunuliwa, ni mbaya sina mvuto wa sura...
Dah... imeniuma sana. Nawaza kama ndivyo jamii ituonavyo MUNGU awe Wakili wetu.
Maisha yana changamoto nyingi, mahusiano pia yana changamoto zake.
Ila katika yote namshukuru Mungu anaetupa pumzi, furaha na Amani.
 
Bora mwanamke asiyeolewa kuliko mwanamke aliye divorced.
 
mm bado nmekumbana na masharti hayo ndio maana

asa kumbe you are talking from no experience arrghh unaconclude from no where mweee , na wee ukifika 40 hujaoa tukuiteje senior bachelor haha just a joke
 
Kuna maisha mazuri na matamu kuliko hiyo ndoa mfyuuuuuuuuu...... eti kisa na miaka 30 ndiyo nichukue makapi nani kasema lazima ukidhi vigezo na mashart nyooooooo..... 30 mtuache eti ndoa ... ndoa zenyewe mnaziweza peleka huko pumbafu kabisa

Hahahahahaaa! Kumbe nawe huwa watoa povu eeh!
Usikarisike my dear, embu jipoze na wine hapo:
 
binti usijali your still young and beutfull
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…