Kwa kujiheshimu na kukaa katika mpango unaotakiwa bila kuishi katika mawazo ya filamu na tamthilia huyo wakukuongoza yupo,na kwa asili mwanaume ameumbwa kumuongoza mwanamke,yaan haijalishi yupoje kimtazamo hiyo ndo misingi ya ulimwengu ilivyo..
Nakubaliana na point ya kujiheshimu na kujitunza ni wajibu wangu! Na ndiyo maana Nina sababu ya kuchagua nazi iliyokomaa na siyo koroma lisiloweza unga mchuzi!
Unaijua sifa ya kiongozi wewe? Lazima awe mtu wa mfano na uwezo wa kutatua matatizo ya anayowaongoza! Huwezi kuwa dhaifu halafu utegemee unaowatawala wakubali maadam wewe kiongozi! Lazima watakupinga na kukupindua utoke!