.... Kajambe huko....
Aliyekwambia mwanamke akifikisha miaka 30+ au akizaa hana choices nani? Life is all about happiness. How can you be happy without choosing what you want in life.
Eti umezalishwa nyumbani halafu una masharti magumu. Mkeo ulimkuta na bikira. Mkeo naye si alifunuriwa na kufunikwa, mbona umebeba mzigo bila kujiuliza yote hayo.
Mtoa mada kama ulijaribu mahali na haukufikia vigezo, jipange upya kaongeze elimu, tafuta hela maana ndio mpango mzima. Chipsi kuku sio issue kwa sasa labda kwa wanafunzi.
Wenye 30+ wengi wana maisha yao, ndio maana vigezo na masharti kuzingatiwa. Mtu hawezi kuolewa na yeyote. Dogo nakushauri jipange. Vinginevyo utabweka sana. Povu litakutoka mpaka utapaliwa.