Akina dada mnaijua tekniki hii?

Akina dada mnaijua tekniki hii?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
Kama Boy friend/Mumeo anatatizo lifuatalo huu ni ufumbuzi wake.

Mnapokuwa faragha wakati wa majamboz boy friend/mumeo ana tatizo la kuwahi kumaliza kabla hata wewe hujafika hata robo ya 'safari'?

Mbaya zaidi wengine hutumia chini ya dakika tano(5) na akishamaliza hana 'mzuka' tena.

Ufumbuzi.

Dadkika chache kabla hamjaanza majamboz, tafuta pini(exactly iwe dizaini kama hiyo pichani).
Ibane kwenye nywele zako(za kichwani), hakikisha mwenzi wako haioni.
Kisha anzeni majambozi.

Nakuhakikishia mtapiga gemu na jamaa hatofika ila ataendelea kuwa fit mpaka utakapoitoa ile pini ndipo 'atamaliza'

So kazi itakuwa kwako mwanadada kwani pini yako ni kama remote control yako, ukitaka amalize unaitoa pini yako ukitaka aendelee hata kwa masaa matatu mfululizo unaicha tuu pini.

Kumbuka.
Hii ni kwa akina dada wenye nywele ndefu ziwe natural au hata 'wivingi', rasta etc.

Zingatia:
Mwenzi wako hatakiwi kuiona hiyo pini wala hatakiwi kujua kama unatumia hii mbinu.

NB: huu sio uchawi na wala haihusiani na ushirikina bali ni urithi kutoka kwa bibi zetu.
Proudly African.

adios....amigo.



Safety_Pin.jpg
 
Mie nilizani pini itatumika kwa kumpunguzia pupa namaanisha ukimuona huyoo! Huyoo! Unamchoma na pini mshtuko lazima utaipunguza speed gavana,kumbe unaifunga ktk nywele tu kazi shila.
 
hapa napata utata, kunamahusiano gani kati ya pini na mwanaume ama pini na hisia? Au ndo kama ile ya kuzungusha vidole ili mwalimu asahau... ? Ndibalema

Mh!!!!
Mkuu Ndibalema,kama huu si uchawi,ninini?
Wakuu hiyo kitu ndiyo iko hivyo.
Ukiniuliza mechanism yake kwa kweli sina jibu ila ndivyo inafanya kazi. ngoja akina dada wajaribu usiku huu then kesho asubuhi watatupa feedback.
 
Tayari umeanika siri zenu, siku nikiona tu natembea mwendo wa kobe tofauti na zamani nilivyokuwa natembea mwendo wa sungura nitajua pini imehusika hapo hapo nameza na vile vidonge kiboko yenu.
 
Mie nilizani pini itatumika kwa kumpunguzia pupa namaanisha ukimuona huyoo! Huyoo! Unamchoma na pini mshtuko lazima utaipunguza speed gavana,kumbe unaifunga ktk nywele tu kazi shila.

dah...ukimeza lazima atoe pini asiee...
 
Huo mtihani sasa hizo pini hazipatikani kwa sasa labda vijijini tu
 
Back
Top Bottom