Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 875
Mkuu ushawahi kulambwa koni lakini au unasema tuu!
hajuI utamu wake huyu jamaa. mwanamke akikulamba koni ujue kajitoa sana kwako. aulize kama wale wa buku tatu tatu buguruni wanalambaga koni.
Mkuu ushawahi kulambwa koni lakini au unasema tuu!
Jamani Valentina, mdomo kazi yake kuingiza chakula siyo dushe. Sasa unalamba ama unanyonya dushe (koni) imekuwa pipi hiyo? Ukipata fangasi wa kooni? Ama ukipata kansa ya koo? Ndipo utaanza kumlilia mungu akuponye?A ii jamani kwani vitabu vya dini vimeweka mipaka zaidi ya ile kinyume na maumbile?
Ah bwana ile sausage tamu ujueJamani Valentina, mdomo kazi yake kuingiza chakula siyo dushe. Sasa unalamba ama unanyonya dushe (koni) imekuwa pipi hiyo? Ukipata fangasi wa kooni? Ama ukipata kansa ya koo? Ndipo utaanza kumlilia mungu akuponye?
Dini yenye umeletewa ila unajifanya unaijua sanamtoa mada safi sana. Hongera ningekuwa karibu ningekununulia maji ya kunywa kbs au soda. Huu ni uchafu kbs hata vitabu vya dini vinakataza. Km mtu anabisha athibitishe ni wap wameruhusu huu usodoma na ugomora? Watakao kwenda mbingun ni wachache sana, tunafanya matukio mpaka shetan anatushangaaa. Inaonekana walamba koni na uke wapo weng sana humu hata siamin. Bado wafilaji na wafilwaji. Aliyecomment kushadadia kulamba tupu ya ke na me huyo ni mfuas, weka tick hapo. Halafu uje na part 2 list ya walamba koni na ke. Huu ni ujinga kbs uliotukuka. Kitabu gan hicho cha din kimeruhus huu uchafu? Mm nikijua unamambo haya nikusepa mapema hunion tena. Nyie kuzimu inawaita hamna tofaut na mashoga au wasagaji. Dunia hii ukistaajab ya musa utashangaa ya firauni. Mungu hawarehemu. Na kweny nyumba za ibada mnaenda? Huwa mnaenda kufanya nn? Aise polen sana. Huyo mnae muabud ni shetan na sio Mungu wa watakatifu. Mm hata nikimtukana mtu huwa moyo wangu unakuwa mzito sana niwepo church, nakosa aman kbsa. Nyie hamna tofaut na wanafiki wakina yuda eskariot.
Mm napenda kulambwa koni bhana na wala usijali kalamba ngapi.Asipokulamba tukakutana na anayelamba utaibwa kirahisi mnoJamani akina dada kuolewa ni heshima kubwa sana kwa mwanamke yeyote yule. Hata uwe na maisha ya kifahari kiasi gani kama huna mume hujakamilika.
Ili uolewe kuna mikao (pose) unatakiwa kuwa nayo, mavazi ya staha, na lugha nzuri kinywani. Usiporomoshe mineno kana kwamba ni mnyampara wa wafungwa utegemee utaolewa.
Wanaume wengi humuogopa mwanamke anaetupia uume kinywani (oral sex ) maarufu kama kulamba koni. Wengi hufanya naye mapenzi mwanamke wa aina hiyo lakini kamwe hawezi kumfanya kuwa mke.
Wanaume hujiuliza kuwa kama huyu amelamba koni yangu amelamba ngapi? Wapi alijifunza huu uchafu? Huhitimisha kwa kukuona wewe ni professional whore.
Acheni kujifanya wajanja mtaishia kucheza kwaito kwenye harusi za wenzenu.
Mikuki inayorushwa kwa mletamada inaashiria wengi humu ni waumini wa kurambwa koni
Jamani Valentina, mdomo kazi yake kuingiza chakula siyo dushe. Sasa unalamba ama unanyonya dushe (koni) imekuwa pipi hiyo? Ukipata fangasi wa kooni? Ama ukipata kansa ya koo? Ndipo utaanza kumlilia mungu akuponye?
Mmh!! Kwann ulambe/ unyonye koni? Acha koni ikagusane ama ikaingia kule kunako chimbo lililo spesheli kwa koni.Ah bwana ile sausage tamu ujue
Kiukweli mkuu mm akijitia majuzi ya kunilamba akili yangu huhama kabisa na shughuli kuishia hapo.Hata mimi sipendi huo upuuzi, naona kama nipo na kahaba kimboka. But I enjoy licking 'em cookies.[emoji12]
Anayelamba huko namchukulia kama kahaba akiyebobea. Hata akitaka kunipiga deep kiss sikubali. Mchafu huyu. Nadhani mara nyingi wadada wanao lamba ni wale walevi. Mtu na akili yako timamu huwezi tumbukiza koni kinywani.Mm napenda kulambwa koni bhana na wala usijali kalamba ngapi.Asipokulamba tukakutana na anayelamba utaibwa kirahisi mno
Nilipanga kuleta Uzi wa kupinga matumizi ys 071.... lkn kwa mwendo huu hapana. Nitachambwa mpk basi.Haya ya kutetea kila yaliyo kinyume na kanuni za asili,sita shangaa kuunga mkono matumizi ya tigo
acha porojo zako, kama ulipata asiejua kula cone usifanye wengine wote wakakosa. Mtu hujamkuta bikra halafu uanze kuwaza keshakula cone ngapi, mbona hujiulizi huko kwingine zishaingia ngapi. Kina dada kipimo cha kwanza cha kuwa mke mwema ni uwezo wako kulamba cone. endeleeni kufanya na kuboresha ujuzi wenu.
kama kwelin vilee.... ila mbona wanaume wengi ndo wanapenda hvyo?? sielewii kwann usimwoe mtu anayekupa kitu unapenda...hahahahahaaaaaaaaaaaaJamani akina dada kuolewa ni heshima kubwa sana kwa mwanamke yeyote yule. Hata uwe na maisha ya kifahari kiasi gani kama huna mume hujakamilika.
Ili uolewe kuna mikao (pose) unatakiwa kuwa nayo, mavazi ya staha, na lugha nzuri kinywani. Usiporomoshe mineno kana kwamba ni mnyampara wa wafungwa utegemee utaolewa.
Wanaume wengi humuogopa mwanamke anaetupia uume kinywani (oral sex ) maarufu kama kulamba koni. Wengi hufanya naye mapenzi mwanamke wa aina hiyo lakini kamwe hawezi kumfanya kuwa mke.
Wanaume hujiuliza kuwa kama huyu amelamba koni yangu amelamba ngapi? Wapi alijifunza huu uchafu? Huhitimisha kwa kukuona wewe ni professional whore.
Acheni kujifanya wajanja mtaishia kucheza kwaito kwenye harusi za wenzenu.