Akina dada jifunzeni ustaraabu mnapopewa offer

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mtu anakuita au unakutana nae baa anakuambia kwa roho nyeupe agiza bia ili mpige story na kupeana kampani cha ajabu unaanza kunywa kama unamkomoa kisa tu umepata offer ya bure.

Bia moja unapiga fundo tatu umemaliza ili kumkomoa mtu aliyekupa offer. Huu ni ushamba mkubwa sana. Ndio maana watoto wa kihuni huwa wanawaachia manyoya.
 
Una bahati ,kuna mwingine snapiga chupa Tatu za wine @tsh. 27,000 na kuku mzima tsh 20,000
 
Mtu anakuita au unakutana nae baa anakuambia kwa roho nyeupe agiza bia ili mpige story na kupeana kampani cha ajabu unaanza kunywa kama unamkomoa kisa tu umepata offer ya bure. Bia moja unapiga fundo tatu umemaliza ili kumkomoa mtu aliyekupa offer. Huu ni ushamba mkubwa sana. Ndio maana watoto wa kihuni huwa wanawaachia manyoya.
Una bahati ,kuna mwingine anapiga chupa Tatu za wine @tsh. 27,000 na kuku mzima tsh 20,000 na ni mke wa mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom