Akina dada jifunzeni ustaraabu mnapopewa offer

noma ni wale wanakaribishwa sehemu alafu kila nusu saa unasikia rafiki yangu anakuja, mara dada yangu...

sasa dada mtu akifika, unabaki kuangaliana na washikaji kwani ni kama sio ndugu kabisa!

umenikumbusha mbali 🙌
 
Hilo ni tatizo lingine tena. Ujue tatizo la wavulana hupenda kutunisha misuli yao midogo ili nao waonekane Wanaume. Wakati hawajui ni mishale mingapi wanaume tulipitia mpaka kuwa financial stable. Hata tunapoenda sehemu hatuombi menu or whatever but tunaagiza tu.
Naona unamseti shoga yako hapo kiaina mkuu ila sio mbaya
 
Bia moja unapiga fundo tatu umemaliza ili kumkomoa mtu aliyekupa offer.
Una bahati ,kuna mwingine anapiga chupa Tatu za wine @tsh. 27,000 na kuku mzima tsh 20,000 na ni mke wa mtu
Ndugu yake huyu hapa, Hana hata dalili ya kulewa
1618672352991.png


Picha/ Chanzo
Code:
https://mobile.facebook.com/DJTee255/photos/a.477880139010028/1548784451919586/?type=3&source=57&__tn__=EH-R
 
Shida ipo kwako, Sasa kwann asinywe nyingi kama anataka na hujampa limit? Kwani anajua mfuko wako?

Tatizo wewe si muwazi, Kuwa muwazi juu ya idadi ya bia unazotaka anywe maana wewe ndo unalipa na unaujua mfuko wako. Yeye hajui.

Muhudumu mletee dada bia mbili. Kisha unamuweka wazi kuwa hizi zikiisha mnaondoka. Kama hataki hata hizo mbili usimpe, Usijifiche fiche huku unaumia.
 
Shida ipo kwako, Sasa kwann asinywe nyingi kama anataka na hujampa limit? Kwani anajua mfuko wako?

Tatizo wewe si muwazi, Kuwa muwazi juu ya idadi ya bia unazotaka anywe maana wewe ndo unalipa na unaujua mfuko wako. Yeye hajui.

Muhudumu mletee dada bia mbili. Kisha unamuweka wazi kuwa hizi zikiisha mnaondoka. Kama hataki hata hizo mbili usimpe, Usijifiche fiche huku unaumia.
Ili anywe nyingi lazima apige fundo tatu ili amalize haraka?
 
Kwani anakomoa? Ni uroho tu anakuwa Hana uhakika na kuvipata Tena, kwakeni golden chance. kwetu tunasema "sinje nkubhonye".
 
Kupatwa kwa mtoa ofa🤣🤣🤣🤣
Unaalika mlevi unategemea nin
Kubaliana na yote
Hapo ishu sio ulevi, ni ustaarabu wakati wa kunywa, tatizo lenu mnafikiri mnatukomoa kumbe mnajishusha thamani
 
Hamna kitu hapo mkuu. Unataka anyweje hiyo bia sasa? Kama alikuwa na kiu? Tatizo ni pale unapompa mwanadada ofa halafu unakuta unaagiza bia moja moja tena kwa kunungunika. Kama umeamua kumpa offer muache anywe mpaka aombe msamaha mwenyewe.
Mimi nafikiri tunachanganya mambo, mleta mada hajalalamika idadi ya bia zinazonywea, amesema unywaji wa wadada wanaopewa offer sio wa kistaarabu, mtu anakunywa bia utafikiri anafukuzwa au ameambiwa ni mwisho wa dunia!!!
 
Acheni masimango na offers zenu bana, why utoe offer ikiwa mfukoni huna kitu mkuu? Tena naombea mwingine aagize Hennessy kabisa ukome siku hiyo😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom