Akina dada jifunzeni ustaraabu mnapopewa offer

Tuanzie hapa Offeree

Unataka Offeror atumie muda gani kuimaliza chupa moja ya ml 500?
 
tatizo sio wao ni ww unapenda starehe na hauna pesa na nakufaham vzr kuna weekend huwa,unaamka huna ata mia kwa starehe zako
 
Hapo ishu sio ulevi, ni ustaarabu wakati wa kunywa, tatizo lenu mnafikiri mnatukomoa kumbe mnajishusha thamani

Nani anakukomoa?
ulishawahi kunipa offer ??tuanzie hapo
naona unataka kunijumuisha na walevi
NB:wapo wastaarabu lakin bado ni walevi
Cha msingi nikuangalia aina ya unaye mpa offer sio kuokota okota tu
 
Ukitaka kitoa offer zako uwe unaweka na limitations, akiomba hizo offer mwambie "sawa agiza unavyotaka ila visizidi Tsh kadhaa" au "nakupa offer ya Tsh kadhaa agiza chochote kile" sio unatoatoa tu alaf baadae unakuja kulalamika
Hapo kwenye kuweka limit ndiyo hataki anataka kuonekana jentromen
 
Nani anakukomoa?
ulishawahi kunipa offer ??tuanzie hapo
naona unataka kunijumuisha na walevi
NB:wapo wastaarabu lakin bado ni walevi
Cha msingi nikuangalia aina ya unaye mpa offer sio kuokota okota tu
Naomba nikupe offer nione utakavyo behave
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom