Akina dada jifunzeni ustaraabu mnapopewa offer

Ukitaka kitoa offer zako uwe unaweka na limitations, akiomba hizo offer mwambie "sawa agiza unavyotaka ila visizidi Tsh kadhaa" au "nakupa offer ya Tsh kadhaa agiza chochote kile" sio unatoatoa tu alaf baadae unakuja kulalamika
 
Kupatwa kwa mtoa ofa🤣🤣🤣🤣
Unaalika mlevi unategemea nin
Kubaliana na yote
 
Mtu anakuita au unakutana nae baa anakuambia kwa roho nyeupe agiza bia ili mpige story na kupeana kampani cha ajabu unaanza kunywa kama unamkomoa kisa tu umepata offer ya bure.

Bia moja unapiga fundo tatu umemaliza ili kumkomoa mtu aliyekupa offer. Huu ni ushamba mkubwa sana. Ndio maana watoto wa kihuni huwa wanawaachia manyoya.
Anagida biere kama paka MWIZI hlf wew mwombe 'kitu' uanze kusikia lundo la visingizio
 
Kuna kale katabia unampigia manzi ako umtoe out cha ajabu anakuja na mafisi wenzake,aisee sipendagi hii ujinga kabisa.
 
Kwa mujibu wa maandishi yako wewe ndiyo una matatizo mkuu. Unatambua kwamba huna hela halafu unampa mtu offer? Tafuta pesa mkuu acha kupenda mali za wenye pesa.
 
We fala nini? Nitafute pesa mara ngapi? Ipo siku utakunywa bia za wahuni alafu watatindua mbele na nyuma.
narudia tena, tafuta pesa tena kwa nguvu zote, acha kulia lia, hizi porojo nyingine hazina maana yeyote.
 
Halafu sasa kuambiwa ukweli hataki,
Hilo ni tatizo lingine tena. Ujue tatizo la wavulana hupenda kutunisha misuli yao midogo ili nao waonekane Wanaume. Wakati hawajui ni mishale mingapi wanaume tulipitia mpaka kuwa financial stable. Hata tunapoenda sehemu hatuombi menu or whatever but tunaagiza tu.
 
Una bahati ,kuna mwingine snapiga chupa Tatu za wine @tsh. 27,000 na kuku mzima tsh 20,000
Aisee hii ilinitokea siku moja nimemualika mrembo sehemu wala sikua na nia nae. Nashangaa mamsi kaagiza li wine gani sijui chupa wanauza 60,000. Aisee nilimuangalia sikumpatia jibu yule dada na ndio ikawa mwanzo na mwisho.
 
Hilo ni tatizo lingine tena. Ujue tatizo la wavulana hupenda kutunisha misuli yao midogo ili nao waonekane Wanaume. Wakati hawajui ni mishale mingapi wanaume tulipitia mpaka kuwa financial stable. Hata tunapoenda sehemu hatuombi menu or whatever but tunaagiza tu.
Kwani ishu ni kulipa bill au ushamba wa mtu kunywa bia kama anafukuzwa? Tumia akili basi.
 
Kwani ishu ni kulipa bill au ushamba wa mtu kunywa bia kama anafukuzwa? Tumia akili
Hamna kitu hapo mkuu. Unataka anyweje hiyo bia sasa? Kama alikuwa na kiu? Tatizo ni pale unapompa mwanadada ofa halafu unakuta unaagiza bia moja moja tena kwa kunungunika. Kama umeamua kumpa offer muache anywe mpaka aombe msamaha mwenyewe.
 
Mimi nikifika tu niko demu ni"k vant kubwa na glass mbili na maji,na nyama jikoni" hataki basi.
Bia,wine ni uharibifu tu wa hela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom