Akina Dada hii inawahusu...

Akina Dada hii inawahusu...

Mapigo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
256
Reaction score
90
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili
zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii
kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni
walewale kanyaboya wenzako,na
hawana futuretabaki unaliwa bure
kila siku unatoa macho.
Ukipata mwanaume anakupenda
unaanza drama zako na kupiga watu
danadana,madai yako hujali na
unadhani hata akiondoka utapata
mwingine kisa wewe ni mzuri,la
hasha! Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako
mheshimu,maana viumbe wa kike
wakiwa wazuri ni shida na matatizo
hakuna mtu anataka,sasa
ukimwongezea na drama pamoja na
yeye kujigeuza mpalestina kwako
utajikuta umeolewa na kioo cha
chumbani kwako,maana hicho ndo
kinakudanganya sana kwamba we ni
mrembo,Watch out,drama zina
mwisho,leo unacheza na mioyo ya
watu unajiona we kifaa,usidhani
wanaume hawaumii,tunaumia sema
hatusemi tu,machozi yetu kama ya
samaki,tunalia ndani kwa ndani
 
Mkuu hawa viumbe acha tu, na pole kwa yaliyokukuta
 
Wanaume mmeumbwa matesooo, mateso........ Kuhangaikaa!!!!!!!!
We ishia hapo hapo.... Mateso halisi, na si mateso ya kifalafala....

Vioo vimeumbwa kuwadanganya... Na ndo maana huwa hamuishi kushanga mbona biti fulani hatulii kazi kubadilisha wanuame tu..??? Kumbe vioo vinafanya kazi yake
 
weeeeeee........ Mi nimeimba tu ujuee!

Halafu mnajijua kuwa na nyie mko kama vioo????
Nyie si ndo mnatupa vichwa kwa kutusifia mara ooh, umzuri mara umependeza..... kumbe mna lenu jambo!

Ukiona mwanaume analiaaaa ujue kunajambooooo.....!!
 
ukisikia paaa!! ujue yamekukuta!

wanaume tumeumbwa na weakness.. the strongest man on earth, mwanaume aliyekuwa na nguvu za mwili na kiroho...

samson, alidondoshwa na mwanamke!

iweje wewe leo hii? acha kudanganya umma bana!
 
bora umekuwa mkweli!
 
acha kuongea ujinga hebu cheki hapo
 
Attachments

  • fumanizi.jpg
    fumanizi.jpg
    2.9 KB · Views: 1,122
Wanaume bwana! Anakufukuziaa afu unaingia kingi. Anaanza kuleta pozi unamfukuziaaaa, ukichoka tu anaanza tena kuhangaika na wewe. Ndo senema inaponoga sasa, mwanamke anaumia once tu. Dawa ukiikoroga usiogope kuinywa bwana
 
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na
mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume na akili
zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii
kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni
walewale kanyaboya wenzako,na
hawana futuretabaki unaliwa bure
kila siku unatoa macho.
Ukipata mwanaume anakupenda
unaanza drama zako na kupiga watu
danadana,madai yako hujali na
unadhani hata akiondoka utapata
mwingine kisa wewe ni mzuri,la
hasha! Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako
mheshimu,maana viumbe wa kike
wakiwa wazuri ni shida na matatizo
hakuna mtu anataka,sasa
ukimwongezea na drama pamoja na
yeye kujigeuza mpalestina kwako
utajikuta umeolewa na kioo cha
chumbani kwako,maana hicho ndo
kinakudanganya sana kwamba we ni
mrembo,Watch out,drama zina
mwisho,leo unacheza na mioyo ya
watu unajiona we kifaa,usidhani
wanaume hawaumii,tunaumia sema
hatusemi tu,machozi yetu kama ya
samaki,tunalia ndani kwa ndani
mkuuu pole sana hauko pekeyako tuko wengi.....!
 
weeeeeee........ Mi nimeimba tu ujuee!

Halafu mnajijua kuwa na nyie mko kama vioo????
Nyie si ndo mnatupa vichwa kwa kutusifia mara ooh, umzuri mara umependeza..... kumbe mna lenu jambo!

Ukiona mwanaume analiaaaa ujue kunajambooooo.....!!

nyie si mnalewa sifa?!...........tuendeleee hvyohvyo tutafka tu. Wenye kujaa matumbo watajaa, wenye kuachwa wataachwa na wenye kulia watalia ili mradi tufike tu
 
Wanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki madunga embe wanaangaika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom