Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
weeeeeee........ Mi nimeimba tu ujuee!
Halafu mnajijua kuwa na nyie mko kama vioo????
Nyie si ndo mnatupa vichwa kwa kutusifia mara ooh, umzuri mara umependeza..... kumbe mna lenu jambo!
Ukiona mwanaume analiaaaa ujue kunajambooooo.....!!
Ukipewa kichwa usikitumie kichwaa kichwa...