Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 672
We ishia hapo hapo.... Mateso halisi, na si mateso ya kifalafala....
Vioo vimeumbwa kuwadanganya... Na ndo maana huwa hamuishi kushanga mbona biti fulani hatulii kazi kubadilisha wanuame tu..??? Kumbe vioo vinafanya kazi yake
Km wao vioo vinawasumbua kazi kubadili ndume na nyinyi?...ww unajua mwenzio anajipoozea hapo na ww unaenda kutongoza! !..kwa nini usimuachie mwenzio? Sasa nyinyi ndo mabilisi wenyewe haswaaa!