Akina Dada eti Hili lina Ukweli?

Akina Dada eti Hili lina Ukweli?

Hela tu ndiyo hunogesha mapenzi!Haya sijui ya kumfungulia mlango wa Bajaji ni mbwembwe tu
 
mmh, kutegemeana na tamaduni, sehemu zingine wameaminishwa, mwanamke mmoja kwako ni mamako tu.

Wa aina hii utasumbuka tu. Ila hata mwanamme huwa kuna mmoja anayempenda, omba uwe huyo.

to feed his appetites. U got b a chef , companion , some naughtiness in bed, n lots of smiles
 
sijui huwa inakuwaje,unakuta u got sooo many guys after you ila nafsi ipo kwa bazazi mwingine kabis@aa,na ashakuambia live mi nna mtu wangu ila bado mtu umo tu,haki kuna watu wanaroga wenzao sio bure
 
sijui huwa inakuwaje,unakuta u got sooo many guys after you ila nafsi ipo kwa bazazi mwingine kabis@aa,na ashakuambia live mi nna mtu wangu ila bado mtu umo tu,haki kuna watu wanaroga wenzao sio bure

Darling, kuna mdogo wangu anaitwa Mentor alinikabidhi wewe uwe mchepuko wangu. na neno la Mentor ni amri kwetu. Hebu twende PM tukapange jambo flani. nakuahidi sitakuloga sana kiviiile.
 
Last edited by a moderator:
Darling, kuna mdogo wangu anaitwa Mentor alinikabidhi wewe uwe mchepuko wangu. na neno la Mentor ni amri kwetu. Hebu twende PM tukapange jambo flani. nakuahidi sitakuloga sana kiviiile.
unaona sasa yani huu ni mtego wa kuniroga liveee tena mbele ya umma,
 
Last edited by a moderator:
sijui huwa inakuwaje,unakuta u got sooo many guys after you ila nafsi ipo kwa bazazi mwingine kabis@aa,na ashakuambia live mi nna mtu wangu ila bado mtu umo tu,haki kuna watu wanaroga wenzao sio bure

Hahaha nahisi huko ni kujiroga mwenyewe. Unakuta watu wengine wanakupenda na kukuthamini lakini huoni upendo wao. Yule bazazi anayekusumbua ndo unakuta limoyo limemzimia mazima... Mungu atusaidie jamani
 
Really? I bet all them hoes are the most loyal and faithful subjects of yours of all time! And them wives are the most DISRESPECTFUL livin w7th ya broke a.ss for eternity! I cant agree more!

now that's a statement.(picture obama saying it)
 
Back
Top Bottom