Akina Dada eti Hili lina Ukweli?

Akina Dada eti Hili lina Ukweli?

I was being sarcastic! Kama mnavotaka ni hivo why kuchepukaring?

Hilo somo la kuchepuka tulisha jadili humu mno iko namna hii kwa mwanaume wa kiafrika just three generations back babu zetu walikuwa wanaoa not mmoja au wawili but even ten women...so in our subconscious wala hatu feel tuna chepuka..we simply feel its okay....since haturuhusiwi tena kuoa hata wawili.....iko inherited consciously ..we are polygamous trying so hard not to be.....so kuchepuka ndo maana is a non issue kwa wanaume wakiwa alone...tunakemea unafiki mbele ya wanawake but tukiwa wanaume watupu its boys being boys...
 
Mbona mkioa mnapewa kutwa mara 3 kama dozi. BUREEEEEEEE na bado hamridhiki?

Hukumwelewa lara moko.... Hatutaki a single papuchi.... Tunataka nyingi kadiri iwezekanavyo!

Yani mipapuchi ina sura mbayaaaa, lakini mitamuuuuuuu!!

Baaaaaaasi!!!
 
Hilo somo la kuchepuka tulisha jadili humu mno iko namna hii kwa mwanaume wa kiafrika just three generations back babu zetu walikuwa wanaoa not mmoja au wawili but even ten women...so in our subconscious wala hatu feel tuna chepuka..we simply feel its okay....since haturuhusiwi tena kuoa hata wawili.....iko inherited consciously ..we are polygamous trying so hard not to be.....so kuchepuka ndo maana is a non issue kwa wanaume wakiwa alone...tunakemea unafiki mbele ya wanawake but tukiwa wanaume watupu its boys being boys...

Mmmmmmmh! Hata sisi bibi zetu walikuwa LOYAL AND RESPECTFULL kwa kuwa na MAFIGA 3 TUUUUUU BAAAAAAAAAAASSSS! Tangu lini figa moja likainjika sufuria?

Tangu lini mwanaume mmoja akawa na sifa zote stahiki? Pesa yeye, manjonjo yeye, mzuri yeye? Thubutuuuuuuuuuuuu! Inabidi msaididane ndo bibi aridhike nafsi yake ajihisi mwanamke kamili!

LONG LIVE OUR TRADITIONS!
 
Ndio maana nikakutajia respect among the needs hao mabibi waliweza kufanya kwa siri hata kuhisi usihisi..so heshima ilikuwepo.......kwa waume zao...if at all walifanya..usisahau culture ya mafiga matatu sio kote ilikuwepo
 
Hata mi naona ukidochwa nje unamuheshimu mno mno mnoooo mumeo!
 
wagumu? ugumu wa talc au diamond?

Hayo uliyoyataja cut off ni ngapi?

Unaweza dhania uko na mgumu kumbe una kitu talc, kitu soft, kitu albatasha, ukucha tu unararua makila kitu.
 
Unaweza pewa vyote pesa, heshima mapenzi, Lakini ukawa mume/mke hujisikii kukutaka kiu..🙈
 
Back
Top Bottom