Akili

Akili

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Dogo mmoja amepata division one katika mtihani, akaenda kwa baba yake akamuuliza, "Hivi baba hizi akili zote nimepata toka kwa nani? Kwako au kwa mama?" Mzee akamjibu, "naona umechukua akili za mama yako. Maana mimi bado nina akili zangu."
 
du! Saf inaonyesha mzee mtata huyo japo yupo sawa hv
 
epa1257l.jpg
 
im just wondering je ange muuliza mama jibu lingekuwa nini?
 
ina maana mamake hana akili. akili zake zilichukuliwa na huyo mtoto according to the father. Du matusi mengine jameni....
 
I think kachukua kwa huyo baba cz yeye ndo hana akili kabsaaaaaa
 
Back
Top Bottom