Akili za wanawake...

Kama ni staili ya kuomba namba mkuu ibadili aseee

Unajifanya unasifia weeeeeeee kumbe mwishowe unaomba namba kwa mtu fulani.

Mbona wanaume wa dar hamtaki kuamka pamoja na kuwa dar ishaamka??

Kweli vae chupi na bra...tuu uoe??
.naanza kuelewa kwa nini nyinyi mko hivi
 
Mi nakubaliana na ulichosema kabisa,lakini jamani hizi za mada za wanawake mbona zimekuwa nyingi sana!? Utadhani duniani wanaishi pekee yao,siku moja moja jamani tupeni break tupumue!
Hivi hujui kwa nini??

Tunechoshwa na ubachela bhana, vutanda vyetu kugeuka makabati ya nguo, hakuna anaekujali, hakuna wa kukuweka smart, hakuna wa kukukosoa
Kwa sababu moja tuu
Kila ukimtafuta huoni malighafi za mke unakutana na mali ghafi za kahaba, sasa wewe unafikiri sisi wanaume tumependa kuishi peke yetu?? Tunahitaji kukamilika lakini spea ya kutukamili ni ninyi na mshakuwa hivo tifanyeje??
.unategemea malalamiko haya tuwapeleke nani mbuzi??
Ukitaka kununua spea za bajaji huendi kuulizia kwenye takirishi mpakato.
 
SI MUANDIKE MAPUNGUFU YETU NA NYIE KWANI MMEKATAZWA MAMA?
Tatizo mapungufu eanayoyatoa ni yale ya kikahaba

Eti tukiomba namba hatupigi.
Eti siku hizi hatuhongi..


Utafikiri wanaishi kijingishstan, ambapo mwanaume anapokea mshahara uliopigiwa bajeti ya kuhonga
 
Mimi naamini mavazi hayamfanyi mtu aolewe.......nashukuru Mungu my boy ni muelewa sana
Mh.

Uzuri umesema ni mvulana wako, angekuwa mchumba wako ninemuona kama kesho atatuletea mzigo wa ku dili na ndoa yake
 
afadhali hawa wanajifunika kidogo bibi yako kabla ya kuja mzungu si ndiyo ilikua aibu, vibwaya na matiti nje, embu acheni upuuzi
 
Mi nakubaliana na ulichosema kabisa,lakini jamani hizi za mada za wanawake mbona zimekuwa nyingi sana!? Utadhani duniani wanaishi pekee yao,siku moja moja jamani tupeni break tupumue!
Hahahahhahaha! sasa mkuu si ndio hot issue jamani, si ndio hayo mambo mnatufanya tutegeke sasa tusiseme?
 
Mkuu um
Mkuu umepiga nyundo ya tani tano.
Mali anaziona kila mtu hadi teja,chizi ,jambazi,halafu baadaye mwanaume unaenda kifurahia.

Kweli kuolewa wanaweza kuolewa ila siyo ma wanaume welevu.

Wataendelea kusafisha nyota mpaka wazeeke
 
Hii imwsimama mkuu. big up
 
Uyasemayo ni kweeeli kabisaa... Lakini nyie ndo mnaofanya wazidi kuzivaa, acha unafiki mkuu.... Mngekuwa mnapinga kwa kumaanisha wala wasingevaa, tatizo nyie ndo wa kwanza kuwasifia....
Sakayo, wale wanaowasifia wanawasifia huku wanawalamba visogo vyao. halafu si unajua midege John ukiisifia tu mule mule, mataptap husifiwa na wanywa mataptap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…