Akili za wanawake...

Vazi ni kitu cha kwanza kujua tabia ya mtu. Vaa smart na si nusu-nusu, full stop.
 
Hayo n.mawazo mazuriiiiii kbxaaaa.......Umewaaambia ukweli maaana wanaboa kichiz
 
Jay Z basi kapoteza sifa ya kiumeni kabisa maana mke uchi wake viewed worldwide
 
Yah is my boy and soon atakuwa husband......sitetei kuvaa hizo nguo ila nachoamini mwanaume anayempenda mtu wake kiukweli hawezi kuangalia mavazi bali ataangalia tabia ya mtu wake
Eti "soon atakuwa husband", ikitokea sivyo usiende kwa sangoma!!
 
Binafsi nimeelewa mkuu,tamaa ni dhambi na kumfanya mtu atamani ni vibaya pia.najua tulio wengi humu hatuvai hivyo ila ilikuwa ni mitazamo tofauti tofauti ya watu.Tutalitendea kazi na kujitekebisha.TUNASHUKURU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Indeed Kaka,

Mi nimepata kukaa na wamama fulani; ambapo waliwaona wadada fulani waliotaka kuvuliwa Nguo na wahuni stand ya Morogoro mjini maarufu kama "Stand ya Mazimbu" Morogoro miaka fulani ya nyuma.

Wale wamama watu wazima walitema Povu kwa mabinti hao, wakilalamika kwetu kua:- kama tungevaa viatu vyao(Vya umama) hakuna kitu kinaumiza kama una binti ambaye miaka inaenda wala haolewi. Wala mtu wa kuja kumposa hatokei. Waliwasuta wale mabinti ambao walilazimika kupanda Hiace ili tu wasije kuadhiriwa na wahuni kwa kuvuliwa nguo.

2nd:-
Nimeshuhudia sana mabinti wanaovaa vizuri wakawa wanatembea Barabarani, inatokea kabisa Mwanaume anapita na Gari Private anamuona . Anajisikia vizuri kutoa lifti bure, kwasababu tu binti ana mvuto kapendeza.

Hii ndio ladha ya Mavazi.
Kama unavaa kama Porn star, inabidi tukuweke kwenye kundi hilo la Whore.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mithali 9:7-9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…