Akili za wanawake wengi wa mitandaoni ni ngono tu!

Akili za wanawake wengi wa mitandaoni ni ngono tu!

Atakuwa hakujui fresh anajitia wehu muache kwani utakufa after - row anatumia aina hiyo hiyo uliyonayo so vunga umewahiwa
 
Wanawake 100 wote hao unawatumia SMS ili iweje??
Kama sio na wewe mwanaume wa mitandaoni una akili za ngono tu


I love you J.

NB: this comment is NOT in any way related to the ongoing TOPIC...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Wanawake 100 wote hao unawatumia SMS ili iweje??
Kama sio na wewe mwanaume wa mitandaoni una akili za ngono tu
[emoji121]
MKUU,

NI_PM PICHA NA NAMBA YAKO TAFADHALI
NIKUTUMIE JAPO 1,500/= UJIUNGE KIFURUSHI CHA CHUO!
 
Why utume sms kwa wanawake tu, nini unachokitaka, haya utasema wataka salam, and then ukishamsalimia what next, mi mwenyewe nisingekujibu kwa kweli
 
Tatizo hao wenzako huanza na salamu then mtongozo hufuatia...hivyo una kazi ya kuwahakikishia kwamba wewe hauko hivyo.
 
Back
Top Bottom